Analala mtu kabla ya mikwaju ya penati lol
#TeamWales hapa.....Najua unaombea Wareno wapite sababu ya CR7
#TeamWales hapa.....
Hii mechi Portugal anaweza kushinda wakienda penati
Wapoland kwa penalties ni wabaya. Watapiga madongo tu
#Cardifff wanetu wenyewe wale hatuna ubaya naoHahahaha umekimbilia kwa wadogo zenu.