Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

My team
Croatia inacheza muda huu!Baada ya uchambuzi wangu ndiyo team naamini ipo fit idara zote

Mkongwe Corluka na Srna wataongoza nyuma pale kati hao watu watatu wala sisemi

Mandu atasimama mbele

Balkan King ndiyo team yangu
 
Modric
45294259ff32d495418b349e280cb112.jpg

Raktic
3c33f6ed5ebc39138fd40361e60e5442.jpg
 
Russia charged by UEFA following trouble in the UEFA EURO game vs. England Football Team game for:

- Crowd disturbances
- Racist behaviour
- Setting off fireworks

Mi nashangaa fujo wameanza waingereza faini wanapigwa warussia. Fujo zote walizofanya leo hii wanajifanya victims. Hawa UEFA na media ni majipu tu. Wangekuwa na uwezo wangewapa kombe waende nalo mashwaini hawa. Na wapigwe tu si wanajifanya holigaans
 
Kila mwenye team kaonyesha kama why anaitwa mwenye team KASORO Pogba tu wa France!Nashukuru kwa Allah tumeanza vyema!!

Jana Bale kaonyesha
Rooney kacheza vyema sana
Kokorin kacheza vyema sana kwa Russia
Shaqir kacheza vyema kwa Holland
Cana alicheza vyema kwa Albania
Ondrej Duda alicheza vyema kwa Slovakia
Turan kawaongoza vyema Turkey

Pogba ndiyo ziro
 
Mi nashangaa fujo wameanza waingereza faini wanapigwa warussia. Fujo zote walizofanya leo hii wanajifanya victims. Hawa UEFA na media ni majipu tu. Wangekuwa na uwezo wangewapa kombe waende nalo mashwaini hawa. Na wapigwe tu si wanajifanya holigaans
Hahaaa wapumzishe england mkuu ..... uefa huwa hawako sawa
 
Mi nashangaa fujo wameanza waingereza faini wanapigwa warussia. Fujo zote walizofanya leo hii wanajifanya victims. Hawa UEFA na media ni majipu tu. Wangekuwa na uwezo wangewapa kombe waende nalo mashwaini hawa. Na wapigwe tu si wanajifanya holigaans
Na watapigwa tu licha ya kubebwa.!
 
Back
Top Bottom