Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Bring Wilshier baadae dk 68-75 for Lallana au Ali.
 
England wamepewa goli la offside. Ref ashaharibu game
 
Hakuna anaecheza vizur kwa england kama lallana fuatilia ujionee
 
Come on Walessssss. Gonga hao manyang'au. #TeamUnderdogs on...
 
Rashford,Rooney,Vardy,Studridge ????? football ya wapi? welshier astaafu tu unamuacha wilshier kati?
 
Ramsey is garbage. Jamaa anajali kuonekana katika social media badala ya kuimprove game lake. Nevertheless Come on Wales!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ramsey is garbage. Jamaa anajali kuonekana katika social media badala ya kuimprove game lake. Nevertheless Come on Wales!!!!!!!!!!!!!!!!!

...mtoto wa wenger huyo ukiskiwa!, naomba Mungu Wales aondoke na hiyo point moja..
 
Sterling kaipotea England dk 130 hawa kina rashford wamefanya mengi.
 
England wamepewa goli la offside. Ref ashaharibu game

....mpira ukiguswa na mchezaji wa timu pinzani,hata km mfungaji atakuwa kwenye off side position,akifunga ni goli halali.
 
do do do the sturidge sio kina Raheem haya DonDonald upooo? nimewaambia 2-1
 
Back
Top Bottom