Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hawa mababu wanacheza rafu tu, mi nashangaa Belgium sijui mini kiliwakumba
 
The unbeaten [emoji41] [emoji41]
Clean sheet [emoji106] [emoji106]
Round 16 [emoji14] [emoji14]

57a757084e889553cdf35ce62198cde7.jpg
 
daa game ya #swedish na italia imenipita nackia #Eder kachapa mtu hawa sweden walikua na mpira wao wa kipekee scandinavia footbal enz za #henrink larson ...watoto wa #davor Suker wanatoa draw na watoto wa #paved Nevded hii michuano ina magoli ya jioni balaa
 
Michuano imetawaliwa na late goals with full of surprises. No body is safe till the last whistle.
 
Wauza Döner Kebab tayari wamekaa bao 2. Kuna uwezekano wakapigwa game zote 3 Hawa. Afadhari maana wakishinda hata mechi ya kirafiki tu kelele mtaani hakulaliki nyau Hawa. Leo kimya na bendera zao kama za waganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom