Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

France,Italy,Espagne,Germany, huu upande ndo utatoa team ya kwenda kucheza final na upande wa team B,na hiyo team mojawapo ndo itabeba ndoo kutoa kwa team yoyote ile ya Team za upande B
 
Uzuri wa Ujerumani yoyote huwa anafunga!

Hatumtegemei mtu mmoja.
Hahaha
Ujue nlikuwa nafuatilia kwa mikin nsihe danganywa na watu

Timu yetu iko vzuri
Sema huwa tuna ka ugonjwa ka kufungwa na wote italy na spain
Yaan hata tuweje huwa tuna tafta namna ya kufungwa
 
Back
Top Bottom