Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
We ni italyNgoja nisubiri dakika 90 kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni italyNgoja nisubiri dakika 90 kwanza
Italy wana vitu flan vichache ambavyo timu nyingi hazina
Buffon ana miaka 38,na hapo anasema kombe la dunia kama watapenya yupo tayari kushiriki 2018,atakuwa na 40,Huyo Messi hasira tu,na inawezekana huko mbeleni atabadili huo uamuziUzoefu...!!
Kunawachezaji wamecheza michuano ya Euro zaidi ya mitatu humo ndani, kama Kina Gig Buffon, De Rossi na wengine. Nawashangaa kina Messi wanatangaza kustaafu soka la kimataifa wakiwa wana umri wa miaka 29 tu kwa vijisababu uchwara. Hapa Italy kuna wacheza wako above 36 na wanapiga mzigo kama kawa!!
Na mimi nawaombea wafike mbali tu maana hakuna namna
BACK TANGANYIKA
mturuki huyo,mwarabu naona Swaumu inamchanganyaIla refa huyu mmh