Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa leofail [emoji119] [emoji119]
Atakuja tena siku ya semi final hapa
Tutakuwa tuna mpa likizo fupi fupi hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa leofail [emoji119] [emoji119]
Atakuja tena siku ya semi final hapa
Leo kama iyo kukosa chance tuu walicheza poaPortugal naona hawana mbinu ni kubahatishabahatisha tu. Timu ni vurugu tupu,kiungo na foward hamna kitu. Wanarukaruka tu
Iniesta walimchezesha kibabe hawakuwa na mbadala wake mpira sio kama baiskeli hata kama una miaka 100 unaweza kunyonga pedeli japo kivivuvivu.Meneja mzee wachezaji kama Xavi, Iniesta ni wa kupumzika sasa.
Na tukichukua kombe nadhani atajipa ban kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutakuwa tuna mpa likizo fupi fupi hivi hivi
Cr7Na tukichukua kombe nadhani atajipa ban kabisa
Hahahah Cr7Leo kama iyo kukosa chance tuu walicheza poa
Poland ndo walikuwa wana taka penalt
Na wamezipata
Sasa watakutana na uingerza kwenye mapumziko
Unaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?Jaman Portugal wanachukua kombe hli.. naiman nusu fainal wakikutana na Belgium wale hawawez kucheza kitimu kwaiyo huo ni mtelezo
Formula ya mpira hamna.. Porrugal hawajacgez vzur kwel lkn sio kwamb hawana uwezo bali imetokea tu wachezaj wanashindwa kuchez kitimu ila amini huku mbele ndo kikosi kitatengemaa na kufany wonders. Kwanz nusu fainal sitaalchez na Belgium coz leo wabapigwa na Wales ndo utaona maajabuUnaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?
Kweli kabisaaaYaani mdogo mdogo unashngaa Portugal yupo fainali