Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Portugal naona hawana mbinu ni kubahatishabahatisha tu. Timu ni vurugu tupu,kiungo na foward hamna kitu. Wanarukaruka tu
Leo kama iyo kukosa chance tuu walicheza poa
Poland ndo walikuwa wana taka penalt
Na wamezipata

Sasa watakutana na uingerza kwenye mapumziko
 
Mara 'figisufigisu' chama la wana nalo ndani kwe final

Siku hizi siyo vipaji only passion ... Iceland all the way to the final against Portugal [emoji41] [emoji41]

d379af916db9512f1de788a52e2b545f.jpg
 
Jaman Portugal wanachukua kombe hli.. naiman nusu fainal wakikutana na Belgium wale hawawez kucheza kitimu kwaiyo huo ni mtelezo
 
Jaman Portugal wanachukua kombe hli.. naiman nusu fainal wakikutana na Belgium wale hawawez kucheza kitimu kwaiyo huo ni mtelezo
Unaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?
 
Unaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?
Formula ya mpira hamna.. Porrugal hawajacgez vzur kwel lkn sio kwamb hawana uwezo bali imetokea tu wachezaj wanashindwa kuchez kitimu ila amini huku mbele ndo kikosi kitatengemaa na kufany wonders. Kwanz nusu fainal sitaalchez na Belgium coz leo wabapigwa na Wales ndo utaona maajabu
 
hii EURO haijawai kutokea kabisa best looser to qualify to the same-final
 
Back
Top Bottom