Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu.
Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa bingwa .
kila mtu anasema timu yake mara Real Madrid ,wengine barcelona na wengine Bayern Munich.kila mtu anasema lake ,mechi ya jana tarehe 4 2018 kati ya Liverpool vs man city ,man city kafungwa 3-0, na mechi imeisha bila city kupiga shuti lililolenga goli.
Kuna watu Baada ya hiyo mechi kuisha bado wanaizarau Liverpool kwamba aifiki kokote na wamesahu Liverpool ndio timu bora kwa sasa katikati UEFA Champions League kwa kila kitu ndio maana Liverpool ikichukua ubingwa msimu wa 2017/2018 sitashangaa,ingawa wanaiponda kwamba aina world class players .
Mtu kama James Milner ndio mchezaji mwenye assist nyingi za magoli na amefikia record ya Rooney na na neymar ya kuwa na assists 8 ,mechi ijayo akitoa assist maana yake anaweka record ya kuwa na assist nyingi kwenye msimu mmoja ,kwa macho ya watu anaoneka wa kawaida lakini kwa takwimu za ndani ya uwanja UEFA Champions League ni zaidi ya debryne wa man city
Angalia hapo chini
Goli kipa wa Liverpool ndio goli kipa bora mpaka sasa ana clean sheets 6, namba azidanganyi .mtasema labda kwenye makundi alipangiwa timu nyepesi sasa nyinyi mliopangiwa timu ngumu mbona golikipa wenu mbona hakuonesha uwezo kashindwa kuweka clean sheets kwenye hizo mechi ngumu tuprove uwezo wake
Liverpool peke yake ndio apendelewe tu?
Liverpool ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi msimu wa 2017/2018 mpaka sasa ina magoli 31 Baada ya kuwafunga man City jana goli 3 bila.
Angalia hapo chini
Napia ndio timu yenye washambuliaji watatu wambele kila mmoja anagoli 7, sio kama timu zingine
Mshambuliaji mmoja ndio anakuwa kinala wa magoli ,kwa Liverpool wao mane ,salah na firmino wote vinara wa magoli.
Kwa mlioona ajabu city kufungwa jana ,sio ajabu kwa Liverpool kushinda ,Liverpool mpaka sasa hajapoteza mechi hata moja ni yeye Na barca tu ndio hawaja fungwa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018
Liverpool wakichukua ubingwa sitaona ajabu wanastaili na wanasifa za kuwabingwa .
Liverpool wakiwa UEFA Champions League automatically wanakuwa wanyama,uchezaji unabadilika wachezaji wanageuka kuwa world class players.
Kuna watu watasema ronaldo atawafunga Ndio ronaldo anaweza kuwafunga ila kwa safu ya ushambuliaji ya Liverpool (safu bora ya ushambuliaji kwa takwimu na sio porojo na sio ushabiki maandazi) lazima Madrid atolewe.
Nimeamua kuelezea ili liverpool wakipata ushindi msije mkaona ajabu,mkasema kabahatisha , klopp ni master class hasa kwenye big match(nawakumbusha tu naona mmejisahau)
Liverpool wakiwa mabingwa sitashangaa wala kuona ajabu,wachambuzi uchwara jana Baada ya Liverpool kuongoza goli moja wakasema mpira bado city watarudisha lakini mwisho wa siku hata shuti moja wameshindwa kulenga golini na wamefungwa 3.
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya UEFA Champions League na ligi zingine unaweza ukawa bora kwenye hizo ligi Na UEFA Champions League ukawa flop kama PSG.
Wachezaji wengi waliulizwa kwenye hatua za upangaji wa mechi za mtoano za 16 bora ,hapo chini ni majibu ya mchezaji mmoja wapo
Sitashangaa Liverpool kuwa bingwa wa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018.
Kama na wewe unaona timu inaweza kutwaa ubingwa unaweza kutupa facts zako .
Nawasilisha