Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu.

Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa bingwa .

kila mtu anasema timu yake mara Real Madrid ,wengine barcelona na wengine Bayern Munich.kila mtu anasema lake ,mechi ya jana tarehe 4 2018 kati ya Liverpool vs man city ,man city kafungwa 3-0, na mechi imeisha bila city kupiga shuti lililolenga goli.

Kuna watu Baada ya hiyo mechi kuisha bado wanaizarau Liverpool kwamba aifiki kokote na wamesahu Liverpool ndio timu bora kwa sasa katikati UEFA Champions League kwa kila kitu ndio maana Liverpool ikichukua ubingwa msimu wa 2017/2018 sitashangaa,ingawa wanaiponda kwamba aina world class players .

Mtu kama James Milner ndio mchezaji mwenye assist nyingi za magoli na amefikia record ya Rooney na na neymar ya kuwa na assists 8 ,mechi ijayo akitoa assist maana yake anaweka record ya kuwa na assist nyingi kwenye msimu mmoja ,kwa macho ya watu anaoneka wa kawaida lakini kwa takwimu za ndani ya uwanja UEFA Champions League ni zaidi ya debryne wa man city

Angalia hapo chini

IMG_2405.JPG

Goli kipa wa Liverpool ndio goli kipa bora mpaka sasa ana clean sheets 6, namba azidanganyi .mtasema labda kwenye makundi alipangiwa timu nyepesi sasa nyinyi mliopangiwa timu ngumu mbona golikipa wenu mbona hakuonesha uwezo kashindwa kuweka clean sheets kwenye hizo mechi ngumu tuprove uwezo wake

Liverpool peke yake ndio apendelewe tu?

IMG_2411.JPG

Liverpool ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi msimu wa 2017/2018 mpaka sasa ina magoli 31 Baada ya kuwafunga man City jana goli 3 bila.

Angalia hapo chini

IMG_2412.JPG

IMG_2408.JPG

Napia ndio timu yenye washambuliaji watatu wambele kila mmoja anagoli 7, sio kama timu zingine

Mshambuliaji mmoja ndio anakuwa kinala wa magoli ,kwa Liverpool wao mane ,salah na firmino wote vinara wa magoli.

Kwa mlioona ajabu city kufungwa jana ,sio ajabu kwa Liverpool kushinda ,Liverpool mpaka sasa hajapoteza mechi hata moja ni yeye Na barca tu ndio hawaja fungwa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018

Liverpool wakichukua ubingwa sitaona ajabu wanastaili na wanasifa za kuwabingwa .

Liverpool wakiwa UEFA Champions League automatically wanakuwa wanyama,uchezaji unabadilika wachezaji wanageuka kuwa world class players.

Kuna watu watasema ronaldo atawafunga Ndio ronaldo anaweza kuwafunga ila kwa safu ya ushambuliaji ya Liverpool (safu bora ya ushambuliaji kwa takwimu na sio porojo na sio ushabiki maandazi) lazima Madrid atolewe.

Nimeamua kuelezea ili liverpool wakipata ushindi msije mkaona ajabu,mkasema kabahatisha , klopp ni master class hasa kwenye big match(nawakumbusha tu naona mmejisahau)

Liverpool wakiwa mabingwa sitashangaa wala kuona ajabu,wachambuzi uchwara jana Baada ya Liverpool kuongoza goli moja wakasema mpira bado city watarudisha lakini mwisho wa siku hata shuti moja wameshindwa kulenga golini na wamefungwa 3.

Watu wanashindwa kutofautisha kati ya UEFA Champions League na ligi zingine unaweza ukawa bora kwenye hizo ligi Na UEFA Champions League ukawa flop kama PSG.

Wachezaji wengi waliulizwa kwenye hatua za upangaji wa mechi za mtoano za 16 bora ,hapo chini ni majibu ya mchezaji mmoja wapo

IMG_2413.JPG

Sitashangaa Liverpool kuwa bingwa wa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018.

Kama na wewe unaona timu inaweza kutwaa ubingwa unaweza kutupa facts zako .

Nawasilisha
 
Yeah tuko on fire, asante kwa uchambuzi mzuri hapo ukiona mtu anabisha jua timu yake either haikushiriki kabisa ama ilishatoka kitambo sana. Lakini kitu kingine ni kwamba hata kwenye Premier League tungekuwa tunaelekea kuikamata Man City sema maamuzi mabovu sana ya marefa wa England yalituvunja moyo sana. You will never walk alone
 
Umeelezea vizuri ila mpira hauko hivo mkuu, huwezi kusema eti ni 'LAZIMA' Madrid atolewe akikutana na Liverpool, kwenye mpira hakuna kitu kinaitwa lazima ispokuwa tunabashiri kuangalia takwimu, uwezo, record ya team zinazokutana lakini mwisho wa siku matokeo yoyote yanaweza kutokea kwani sometimes luck waga ina decide matokeo

Laiti kama ungepata nafasi ya kuongelea match kati ya sevilla na man utd lazima ungesema Man u atapita, au ungepata nafasi ya kuongelea Mbao vs Yanga, ungesema Yanga atashinda, au ungepata nafasi ya kuongelea Man u na Newcastle ungesema Man atashinda, lakini mpira hauko hivo

Anyway let's wait and see, naamini pia Liverpool anaweza kufanya vizuri ila sio kwa hizo sababu zako eti kwamba Liverpool akiwa Uefa wanakuwa wanyama nadhani umesahau mara ya mwisho Liverpool kushiriki uefa nini kilimtokea, naamini katika uwezo wa klop katika big match na forward line ya Liverpool na morale ya wachezaji ila haya tu hayafanyi niseme eti lazima Liverpool akikutana na Madrid basi zidane kaaga

All in all uchambuzi mzuri. Big up
 
Wasubirini magiant mcheze nao maana big mechi yenu ya kwanza ndo hii mliyoshinda Tatu...tena ni uingereza kwa uingereza ....subiri mpelekwe Hispania
 
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] Madridista wanawasubiri mje
 
Uchambuzi uko vizuri sana,nawatakia mafanikio mema timu yangu Liverpool kuelekea kuibeba ndoo msimu huu!
Naipenda sana liverpool
 
Liver mna timu nzuri kwa sasa lakini sio timu bora kati ya zinazotegewa kubeba ndoo!

Mkuu baada ya Salah kutoka uliona ambavyo mashambulizi yalikata kabsa kule mbele?
Hii inaa maana wakikutana na team kama Madrid au B.M na Salah akapotezwa basi jahazi la ushambuliaji linazama bila kusahau liver haina defense nzuri
Miongoni mwa timu kubwa zenye defense line nzuri kabisa, Man city wamo. Kama kwa mujibu wa mtoa hoja, forward tatu za liverpool zina magoli saba kila mmoja, na mwenye assist nyingi kwenye timu si miongoni mwa hao ma-forward, wasiwasi wako uko wapi akosekanapo Salah?

Zipo timu, akikosekana mfungaji wao bora, ni bora mechi iahirishwe; sio liverpool.
 
Man city hakuwa na safu nzuri tu ya umaliziaji ila kwa mpira ule wa liver kipindi cha pili ombeni sana msikutanishwe na timu kama barca au madrid mtaoga mvua ya magoli ile kutolewa tu salah wote wakarudi nyuma kujilinda wakawa wanapoteza mpira hovyo tu
 
Hata kwa mpira ule wa kipindi cha pili walishindwa kupiga shuti lililolenga goli.
Kwa mara ya kwanza tangu walipofanya hivyo mwaka 2016 dhidi ya Man U.
Ipe credit liverpool japo kinafki.
 
Wakuu habari zenu.

Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa bingwa .

kila mtu anasema timu yake mara Real Madrid ,wengine barcelona na wengine Bayern Munich.kila mtu anasema lake ,mechi ya jana tarehe 4 2018 kati ya Liverpool vs man city ,man city kafungwa 3-0, na mechi imeisha bila city kupiga shuti lililolenga goli.

Kuna watu Baada ya hiyo mechi kuisha bado wanaizarau Liverpool kwamba aifiki kokote na wamesahu Liverpool ndio timu bora kwa sasa katikati UEFA Champions League kwa kila kitu ndio maana Liverpool ikichukua ubingwa msimu wa 2017/2018 sitashangaa,ingawa wanaiponda kwamba aina world class players .

Mtu kama James Milner ndio mchezaji mwenye assist nyingi za magoli na amefikia record ya Rooney na na neymar ya kuwa na assists 8 ,mechi ijayo akitoa assist maana yake anaweka record ya kuwa na assist nyingi kwenye msimu mmoja ,kwa macho ya watu anaoneka wa kawaida lakini kwa takwimu za ndani ya uwanja UEFA Champions League ni zaidi ya debryne wa man city

Angalia hapo chini

View attachment 735787

Goli kipa wa Liverpool ndio goli kipa bora mpaka sasa ana clean sheets 6, namba azidanganyi .mtasema labda kwenye makundi alipangiwa timu nyepesi sasa nyinyi mliopangiwa timu ngumu mbona golikipa wenu mbona hakuonesha uwezo kashindwa kuweka clean sheets kwenye hizo mechi ngumu tuprove uwezo wake

Liverpool peke yake ndio apendelewe tu?

View attachment 735788

Liverpool ndio timu inayoongoza kwa kufunga magoli mengi msimu wa 2017/2018 mpaka sasa ina magoli 31 Baada ya kuwafunga man City jana goli 3 bila.

Angalia hapo chini

View attachment 735790

View attachment 735791

Napia ndio timu yenye washambuliaji watatu wambele kila mmoja anagoli 7, sio kama timu zingine

Mshambuliaji mmoja ndio anakuwa kinala wa magoli ,kwa Liverpool wao mane ,salah na firmino wote vinara wa magoli.

Kwa mlioona ajabu city kufungwa jana ,sio ajabu kwa Liverpool kushinda ,Liverpool mpaka sasa hajapoteza mechi hata moja ni yeye Na barca tu ndio hawaja fungwa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018

Liverpool wakichukua ubingwa sitaona ajabu wanastaili na wanasifa za kuwabingwa .

Liverpool wakiwa UEFA Champions League automatically wanakuwa wanyama,uchezaji unabadilika wachezaji wanageuka kuwa world class players.

Kuna watu watasema ronaldo atawafunga Ndio ronaldo anaweza kuwafunga ila kwa safu ya ushambuliaji ya Liverpool (safu bora ya ushambuliaji kwa takwimu na sio porojo na sio ushabiki maandazi) lazima Madrid atolewe.

Nimeamua kuelezea ili liverpool wakipata ushindi msije mkaona ajabu,mkasema kabahatisha , klopp ni master class hasa kwenye big match(nawakumbusha tu naona mmejisahau)

Liverpool wakiwa mabingwa sitashangaa wala kuona ajabu,wachambuzi uchwara jana Baada ya Liverpool kuongoza goli moja wakasema mpira bado city watarudisha lakini mwisho wa siku hata shuti moja wameshindwa kulenga golini na wamefungwa 3.

Watu wanashindwa kutofautisha kati ya UEFA Champions League na ligi zingine unaweza ukawa bora kwenye hizo ligi Na UEFA Champions League ukawa flop kama PSG.

Wachezaji wengi waliulizwa kwenye hatua za upangaji wa mechi za mtoano za 16 bora ,hapo chini ni majibu ya mchezaji mmoja wapo

View attachment 735798

Sitashangaa Liverpool kuwa bingwa wa UEFA Champions League msimu wa 2017/2018.

Kama na wewe unaona timu inaweza kutwaa ubingwa unaweza kutupa facts zako .

Nawasilisha
Punguza maneno nusu fainali yaja, usiukimbie Uzi wako maana Wainglish kwa vimaneno hamjambo
 
Uchambuzi mzuri sana, facts tupu zikichagizwa na takwimu za UEFA.
 
Liver wako vizuri sana Lakini kuna likiumbe linaitwa La Puga usiombe kuwa nalo uwanjan.
 
R Madrid, Bayern & Barca - sasa hivi hawa wote wanahaha kuomba kwa miungu yao ili Liverpool watolewe usiku wa leo.

YNWA!
 
Back
Top Bottom