Leo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. [emoji12][emoji12]
Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. [emoji3][emoji3][emoji3]
😀😀😀 naona unazidi kuwaua Mikia. Lol.Leo kwakuwa game ni kwa mchina basi zitakuwa 3-0
Tuonane jioni InshaAllah
Sent from my iPhone using JamiiForums
We utakua yeboyebo
Not sureTaifa Stars, Liverpool & timu yoyote anayochezea Messi.
Huku kwetu tunawaita Ombaomba FcHa ha ha mwanzo tu nilimgundua kuwa huyo ni Chura[emoji196][emoji23], amekuja kuchunguza kambi yetu..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mashindano matatu muhimu Simba kafungwa mechi 1 tu Taifa(Simba 2 mashujaa 3)...Saoura kafa 3,Nkana 3,Mbabane 4..
Najitahidi kuwa mzalendo kuwatakia ushindi lakini sasa "kutamani kitu kitokee hakufanyi kitokee"..Twende na uhalisia tu, Simba 1-4 Ahly.Sasa kama mpira ni hasira fungweni tukutane Feb 16.
Kwenye mashindano matatu muhimu Simba kafungwa mechi 1 tu Taifa(Simba 2 mashujaa 3)...Saoura kafa 3,Nkana 3,Mbabane 4..
Najitahidi kuwa mzalendo kuwatakia ushindi lakini sasa "kutamani kitu kitokee hakufanyi kitokee"..Twende na uhalisia tu, Simba 1-4 Ahly.Sasa kama mpira ni hasira fungweni tukutane Feb 16.
Aiseeeee. Maisha hayako sawa kabisa.View attachment 1020488Tuwe serious 😁😁😁😁
Ndugu zetu wanafanya maigizoAiseeeee. Maisha hayako sawa kabisa.
Hahahaaaa. Lol.Ndugu zetu wanafanya maigizo
Ila acha wawalegeze nuts tar 16 tunaenda kunywa kahawa tu taifaHahahaaaa. Lol.
Dstv pekee nadhani ndo wanamamlaka ya hizi game,Hata Azam haruhusiwiHivi kwa tunaotumia visimbuzi vya star times mechi hii tunaiangalia channel gan.
Msaada wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dstv pekee nadhani ndo wanamamlaka ya hizi game,Hata Azam haruhusiwi
Kupitia ZBC2 Huwa Azam wanaonyesha.Dstv pekee nadhani ndo wanamamlaka ya hizi game,Hata Azam haruhusiwi
Star times si sana kuonyesha hizi game Ila ngoja watapita wanaojuaZBC wanaonesha sema mi sina azam nna star times ila nasikia kuna channel inaonesha humo sema siijui ndo naomba kujuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuStar times si sana kuonyesha hizi game Ila ngoja watapita wanaojua
Nikweli,ila walikuwa wanaonyesha zile stage za awali,kuanzia makundi ni dstvKupitia ZBC2 Huwa Azam wanaonyesha.