Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Leo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. [emoji12][emoji12]
Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Leo kwakuwa game ni kwa mchina basi zitakuwa 3-0
Tuonane jioni InshaAllah
Sent from my iPhone using JamiiForums