Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

twende waarabu twende Al Ahlyyyyy, piga haaoooooooooo.
 
Leo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. [emoji12][emoji12]

Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] yani unatia chumvi na sukari haki hicho chakula sitakula hata iweje Shadeeya
 
Mtani matanga ukiisha uje kunipa pongezi
 
Mbwembwe nyiiingi ila hamna kitu

KILA LA HERI NATIONAL AL AHLY KATIKA MCHEZO WA LEO DHIDI YA UNDER DOG
 
Hahahaaa. Hatari sana Mkuu.

Mie nawashauri wajazane tu kama ile mechi na Nkana ili tuone maana halisi ya "Nguvu moja" katika kuyapokea matokeo ambayo kwa asilimia kubwa leo yatakuwa kama sindano.
Kiingilio ni bure maana kuwakabili wachawi inatakiwa nguvu ya kupaza sauti na kukemea mapepo iwe ya hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…