M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
I would have been surprised if you were sure because you don't know me...Not sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I would have been surprised if you were sure because you don't know me...Not sure
I don't even want to know youI would have been surprised if you were sure because you don't know me...
Taharifa yako siyo sahihi, wanaonyesha mpaka fainali, Simba iwepo au isiwepo. Wamefanya hivi kwa miaka zaidi ya mitatu sasa.Nikweli,ila walikuwa wanaonyesha zile stage za awali,kuanzia makundi ni dstv
Kina nani hao?Taharifa yako siyo sahihi, wanaonyesha mpaka fainali, Simba iwepo au isiwepo. Wamefanya hivi kwa miaka zaidi ya mitatu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] yani unatia chumvi na sukari haki hicho chakula sitakula hata iweje ShadeeyaLeo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. [emoji12][emoji12]
Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3]yaani Swaiba Leo ushindi Ni lazimaHivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , toxic9, Simara huu uzi hamujauona. [emoji12][emoji12][emoji12]
Acheni hizo banaaa.
Saaa ndiyo nimeuona, tatizo mnatuchawia sanaHivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , toxic9, Simara huu uzi hamujauona. [emoji12][emoji12][emoji12]
Acheni hizo banaaa.
Mtani matanga ukiisha uje kunipa pongeziDaaah! Kwa huo mstari wacha tuishie hapo. Maana nimejikuta nayavaa haya maneno kama nimeyaandika mie. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ila niseme yawapasa muwe na mawazo haya kwenye kila mechi na hata ile ya Jumamosi Feb 16. Teh teh. [emoji3][emoji3]
Mbwembwe nyiiingi ila hamna kituKuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.
•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.
•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema;
"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".
Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.
Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.
•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
View attachment 1019785
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha nimecheka sio kwa mazuri nimechekea kwa maumivu
😂😂😂😂 jamaani.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] yani unatia chumvi na sukari haki hicho chakula sitakula hata iweje Shadeeya
Kiingilio ni bure maana kuwakabili wachawi inatakiwa nguvu ya kupaza sauti na kukemea mapepo iwe ya hali ya juuHahahaaa. Hatari sana Mkuu.
Mie nawashauri wajazane tu kama ile mechi na Nkana ili tuone maana halisi ya "Nguvu moja" katika kuyapokea matokeo ambayo kwa asilimia kubwa leo yatakuwa kama sindano.
Hahaaa. Tusubiri tuone.
Nyavu za upande wa piliUuuwiiiiii. Basi leo mpira utaokotwa sana nyavuni. Teh teh
KWA STYLE HII TUNAWEKA UZALENDO PEMBENI
Atuwachawii bana. 😀😀😀Saaa ndiyo nimeuona, tatizo mnatuchawia sana
Hahahaaa. Usijali Mtani.Mtani matanga ukiisha uje kunipa pongezi