ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo:
Marumo Gallants 3-1 Al Ahli
Tripoli
CS Sfaxien 1-2 ASKO
St Eloi Lupopo 1-0 RC Kadiogo
Diables Noirs 6-2 La Passe
Al Akhdar 4-4 Plateau United
Club Africain 0-1 Yanga
Future 3-2 Primeiro Agosto
Real Bamako 4-2 Royal Leopards
SC Gagnoa 2-5 ASEC
Pyramids 3-1 AS Nigelec
Royal AM 0-3 TP Mazembe
USM Alger 1-0 Cape Town City
Motema Pembe 3-1 Flambeau du Centre
Al Nasr 1-6 Rivers United
RS Berkane 0-1 US Monastir
FAR Rabat 4-0 Djoliba
Baada ya kuangalia matokeo hayo (kwa jicho kali la kiuchambuzi) nazionea huruma sana timu zifuatazo:
1. St. Eloi Lupopo
2. US Monastir
Kwanini Nazionea Huruma:-
1. Hivi unakuwa vipi na furaha kuingia hatua ya makundi kwa aggregate ya goli 1-0 huku wenzako unaoenda kukutana nao wamemdunga mtu goli 6?
2. Natoa angalizo kwa mashabiki wa timu hizi 2 mjitahidi kujazana uwanja wa ndege leo kuwapokea mashujaa wenu maana yajayo yanasikitisha.