ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
- Thread starter
- #21
Mkuu kila mechi ina plan yake. Huyu Kibu huyu huyu hua anageuka mbape, neymar hana tofauti na sakho na ukiwa mbali ukimuona phiri utadhani haaland. Kwa kifupi Simba SC akiwa group stage hua anabadilika sana.Cha kuogopesha zaidi ni hii simba iliyocheza na kutoka sare na singida big stars juzi. Kwa uchezaji ule, zile hamsa hamsa zitarudi upyaaaa, kama mgao wa umeme ulivyorudi awamu hii ya sita.