KUELEKEA HATUA YA MAKUNDI CAFCC: Nazionea huruma sana St. Eloi Lupopo na US Monastir

Cha kuogopesha zaidi ni hii simba iliyocheza na kutoka sare na singida big stars juzi. Kwa uchezaji ule, zile hamsa hamsa zitarudi upyaaaa, kama mgao wa umeme ulivyorudi awamu hii ya sita.
Mkuu kila mechi ina plan yake. Huyu Kibu huyu huyu hua anageuka mbape, neymar hana tofauti na sakho na ukiwa mbali ukimuona phiri utadhani haaland. Kwa kifupi Simba SC akiwa group stage hua anabadilika sana.
 
RS berkane walichomfanyia ibenge malipo ni hapa hapa duniani
 
Vyovyote iwavyo Yanga Kufika hatua ya Makundi imepiga hatua kubwa Sana, tulipotoka tulipo na tunapo kwenda Naina mwanga Wa mafanikio huko mbele.
 
Unatesekea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…