Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Leo Simba Kama kawa
vita watalala kwa magoli
2:1
1:0
vita watalala kwa magoli
2:1
1:0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ulichoandika kikitimia basi safari ya kuelekea robo fainali hakuna wakumzuia Mnyama.Leo Simba Kama kawa
vita watalala kwa magoli
2:1
1:0
As vita 3 Simba 0...kuna uwezekano pia simba wakapata goli 1..Fabrice ngoma vs Chama....Jean vs Meddie.Naamini simba akitoka leo robo fainali inamuhusu.
Kuota mchana ni uchuro huo mkuunimeota simba kapigwa 2 - 0.
NB: nimeota
Samahanini watani zangu kwa kuwapunguzia goli zenu mbili japo shughuli ya fabrice na makusu mmeiona. ...Watakuja kwa mchina hawa mtawaonyesha tu...As vita 3 Simba 0...kuna uwezekano pia simba wakapata goli 1..Fabrice ngoma vs Chama....Jean vs Meddie.Naamini simba akitoka leo robo fainali inamuhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekuiga unajuaHivi mbona unabadili badili avatar hivi mpaka nakusahau
Usiku mwema mtaniMkuu masihara hayo hii game sio za majaribio, kwa mfano kagere akiingia sub baada ya kuusoma mchezo nafasi yake atachukua nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi mujarabu 5-0Kila la heri mnyama mkali Simba SC, Lunyasi. Mungu awatangulie mpate ushindi mujarabu
SimbaNguvuMoja..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi murua 5-0Kama kawaida mnyama lazima achomoze na ushindi murua kabisa.
Bana congo wanakula nyama muda huuKila la heri mnyama yangu
Rada rada...radaaa[emoji441][emoji444][emoji445][emoji443]rada hiyooo radaa x2Leo ndo Leo
Kwa Babu Rada inasoma
As Vita 1 Simba SC 3
Okwi
Kagere
Own goal
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashinda njaaa
Upo sahihiHivi hii yaitwaje vile
View attachment 999405