Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

As vita 3 Simba 0...kuna uwezekano pia simba wakapata goli 1..Fabrice ngoma vs Chama....Jean vs Meddie.Naamini simba akitoka leo robo fainali inamuhusu.
 
Tunaomba leo iwe hivyo japo Lazima wakaze Sana
 
As vita 3 Simba 0...kuna uwezekano pia simba wakapata goli 1..Fabrice ngoma vs Chama....Jean vs Meddie.Naamini simba akitoka leo robo fainali inamuhusu.
Samahanini watani zangu kwa kuwapunguzia goli zenu mbili japo shughuli ya fabrice na makusu mmeiona. ...Watakuja kwa mchina hawa mtawaonyesha tu...
 
Hivi hii yaitwaje vile
IMG-20190119-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom