barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Namuonea huruma Yanga na mashabiki wake, maana nimetambua anayepigwa na Simba aumiaye ni Yanga na vitongoji vyake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapoambiwa msivutie bangi sehemu za mwili ambazo haziruhusiwi kuvutia bangi muwe mnaelewa, haya ulioandika ndio madhara ya kukaidi unachoambiwa.Maskini okwi kashazeeka analipwa ml 12 kwa mwezi kafikisha gol 7 pekee msimu huu
wazee wa ngumi aka 5mjitahidi tu watani.. maana ugenini mnakuwaga wanyonge sana... watu wanajipigia 5 tu
Aiseeee,in short Simba ni kama Mwanaume wa Dar vileSIMBA kama Masai vile....
Akiwa Umasaini anaua SIMBA!
Akija DSM anasuka akina dada Nywele
Sent using Jamii Forums mobile app