Kuelekea hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika JS Saoura dhidi ya Simba SC, Show ya Kibabe!

Kuelekea hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika JS Saoura dhidi ya Simba SC, Show ya Kibabe!

Huu ni moto zaidi ya ule uwakao majikoni mwao/

uliounguza ofisi za zima moto pamoja na vifaa vyao/

Kombe la ligi kuu ni la simba yanga hawana chao/

Yanga janga ligi kuu kisanga,simba ishatia nanga/

vyura mpira hauchezwi mpaka wauze sura kwa mganga/

This is simbaa



Sent using unknown device
Mmmh.
 
Mechi hii ni ngumu na inaamua kwa kiasi hatima yetu.
Kumbuka hao jamaa tangu tuwafunge Dar,hawajawahi kupoteza mchezo hata mmoja.
Wanapoint tano,wakitufunga na Vita nao wakishinda sisi tutakuwa wa mwisho kwenye group na mechi ya mwisho itakuwa ngumu zaidi kwetu hata kama tutachezea kwa Mkapa.
Salama yetu mechi hii ni droo ama ushindi.
tukifungwa tu,tutatoka kwenye reli.
 
Nendeni na matokeo yenu kwenye Mabegi ya nguo cha mto mtakiona na kama mnabisha nyoosheni mikono,fanyeni kama mnajikunyata na mkawaulize AS Vita kilichowakuta hapo Algeria
Ndio dua zenu tumewazoea...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
...Baada kushusha mizigo sehemu tofauti nchini..Kituo kinachofuata ni Algeria
naskia serikali imekataza kusafirisha vifurushi, so, hawajaenda na parcel yoyote... labda kule wawaonee huruma.... ila wao ndo watarudi navyo
 
Ningekuwa Aussen ningepanga mabeki watupu..mbili Zaza namba saba Gyan..tatu Asante namba kumi Na moja Zimbwe Jr..Wawa Na Bukabu ..sita Mlipili..nane Kotei..kumi Mkude ..Tisa Bocco...waarabu hawapati goli
 
Back
Top Bottom