Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya JS Saoura, Injinia Soma hiyoooo!!

Itashangaza sana Underdog Fc msipomuunga mkono Thomas Ulimwengu wakati alipokuja na Tp Mazembe mlishangilia hadi kuzirai kwa kiingilio cha Yusuf Manji.
 
Sijawai kuipenda simba ata siku moja ila mna viongozi wabunifu sana nilikuwa napiga hesabu kama watu wote watakao ingia uwanjani watanunua jezi orginal namkajaza uwanja basi mtakuwa mmetengeneza milioni mia tisa kwa siku moja hapo bado mapato ya mlangoni.
Kwakifupi ata kama mm ni yanga ila nawaombea mshinde ili na sisi tuje tujifunze kwenu.
 
Yanga hatuna mashabiki Mambumbumbu kama wewe,tafadhali Yanga hatuna Vinasaba vya Umbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Mkuu inawezekana umetawaliwa na ushabiki kuliko ualisia hv hapo kosa langu nn? Nainawezekana unajifanya shabiki kindakindaki wa yanga wakati ujawai ata kuichangia ata buku. Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwan ujui simba akisonga mbele anatengeneza nafasi ya nchi kupata wawakilishi wengi kwenye hii michuano?
Yanga hatuna mashabiki Mambumbumbu kama wewe,tafadhali Yanga hatuna Vinasaba vya Umbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kubwabwaja wewe Mwana Mbumbumbu FC,nachangia Kadi yangu ya uanachama wa Yanga kila mwaka na pia nachangia Timu kila wiki Kwa Mobile Money. Kwa hiyo usiongee usiyoyajua wewe Mbumbumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hatutegemei mafanikio ya Mikia FC kushiriki michuano ya Kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…