Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa,lazima sisi Wapenzi wa JS Saoura tutoke na ushindi kesho
Usinilishe maneno jombaaaSawa kabisa,lazima sisi Wapenzi wa JS Saoura tutoke na ushindi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa pili wakiweka platnum elfu 7 haziishi!!Kwa Taarifa nilizozipata mida hii, Tickets za Platinum zimeishaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnajifurahisha lakini kipigo kipo pale paleUpande wa pili wakiweka platnum elfu 7 haziishi!!
goli linafungwa muda wowote tu,goli ni goliHivi mikia wamewahi kufunga goal ndani ya dk 90 katika ardhi ya Misri???
Yanga hatuna mashabiki Mambumbumbu kama wewe,tafadhali Yanga hatuna Vinasaba vya UmbumbumbuSijawai kuipenda simba ata siku moja ila mna viongozi wabunifu sana nilikuwa napiga hesabu kama watu wote watakao ingia uwanjani watanunua jezi orginal namkajaza uwanja basi mtakuwa mmetengeneza milioni mia tisa kwa siku moja hapo bado mapato ya mlangoni.
Kwakifupi ata kama mm ni yanga ila nawaombea mshinde ili na sisi tuje tujifunze kwenu.
Hamtaki kuambiwa ukwelYanga hatuna mashabiki Mambumbumbu kama wewe,tafadhali Yanga hatuna Vinasaba vya Umbumbumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
namaanisha tofauti na penalty tano tano..goli linafungwa muda wowote tu,goli ni goli
Yanga hatuna mashabiki Mambumbumbu kama wewe,tafadhali Yanga hatuna Vinasaba vya Umbumbumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kubwabwaja wewe Mwana Mbumbumbu FC,nachangia Kadi yangu ya uanachama wa Yanga kila mwaka na pia nachangia Timu kila wiki Kwa Mobile Money. Kwa hiyo usiongee usiyoyajua wewe Mbumbumbu.Dah! Mkuu inawezekana umetawaliwa na ushabiki kuliko ualisia hv hapo kosa langu nn? Nainawezekana unajifanya shabiki kindakindaki wa yanga wakati ujawai ata kuichangia ata buku. Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwan ujui simba akisonga mbele anatengeneza nafasi ya nchi kupata wawakilishi wengi kwenye hii michuano?
Na hatutegemei mafanikio ya Mikia FC kushiriki michuano ya Kimataifa.Dah! Mkuu inawezekana umetawaliwa na ushabiki kuliko ualisia hv hapo kosa langu nn? Nainawezekana unajifanya shabiki kindakindaki wa yanga wakati ujawai ata kuichangia ata buku. Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwan ujui simba akisonga mbele anatengeneza nafasi ya nchi kupata wawakilishi wengi kwenye hii michuano?