Aaah. Waapi. Hivyo ndio maana ukawapa jina la kike eee?Sijachapia mtani nimekusudia kuandika hivyo karibu chama kubwa Simba sc kwa mkopo wa siku moja tu ya kesho
Vipi Mzee Somo kesho atakuwepo?Hauna dawa2 ww, laiti kama ungekua mchawi mwenye Dawa tungepata tabu sana, kwa roho yako iyo hta Juma Njemba asingekufikia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Simba unafikiri huwa anafungwa na timu ndogo ndogo akiwa Tz kuwakilisha taifa?
Hivi Mkuu ushawahi muelewa yule Mzee? Maana huwa anahangaikaga sana.
Aaaaa mtani hutaki kufurahi wewe maisha yenyewe mafupi haya sasa kwanini ujitese kuwashangilia akina Sauda walioingia kwenye pori lenye Mnyama mkali SimbaAaah. Waapi. Hivyo ndio maana ukawapa jina la kike eee?
Nilijaribu nikashindwa Mtani. Bakieni tu na timu yenu
Yule ndio Kigagula Mkuu waoHivi Mkuu ushawahi muelewa yule Mzee? Maana huwa anahangaikaga sana.
πππ tatizo timu zetu hizi huwa tunaimba kwa kupokezana.Aaaaa mtani hutaki kufurahi wewe maisha yenyewe mafupi haya sasa kwanini ujitese kuwashangilia akina Sauda walioingia kwenye pori lenye Mnyama mkali Simba
Nilimuona mechi moja aisee hadi kakawa kanafukuzwa kule golini
Tuachieni, yule ndo Somo wa Simba SC. [emoji3]Hivi Mkuu ushawahi muelewa yule Mzee? Maana huwa anahangaikaga sana.
Vizuri sana Mtani. Hivyo siku akiumwa mtatafutana eeee?
Yaani huyo lazima awepo kwenye match ya Simba hata kama yupo ICU kitandani mgonjwa Simba lazima wamlete Uwanjani la sivyo Timu inafungwaNilimuona mechi moja aisee hadi kakawa kanafukuzwa kule golini
Duuhh. Kweli huyo Mzee ni somo.Yaani huyo lazima awepo kwenye match ya Simba hata kama yupo ICU kitandani mgonjwa Simba lazima wamlete Uwanjani la sivyo Timu inafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah. Umegusa mule mule nilimokuwa namuwekaga. πππ
Ajui uyoDah! Mkuu inawezekana umetawaliwa na ushabiki kuliko ualisia hv hapo kosa langu nn? Nainawezekana unajifanya shabiki kindakindaki wa yanga wakati ujawai ata kuichangia ata buku. Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwan ujui simba akisonga mbele anatengeneza nafasi ya nchi kupata wawakilishi wengi kwenye hii michuano?
Unajifunsza nn?Aisee ili uendelee nilazima ujifunze kuwa na wivu wa maendeleo na sio kulogana au kuombeana dua mbaya. Emu wanayanga tujifunze kutoka kwa mikia japo kidogo.