Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya JS Saoura, Injinia Soma hiyoooo!!

Wanawazui Walozi wa Yanga. Hata mechi na Nkana watu wa Yanga walifika taifa, walikamatwa na kupigwa

Yaani mechi si yao lakini walienda Taifa kabla ya mechi kwa ajili ya Ulozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mnaamini ulozi upo?
Mkuu, si ndiyo mila potofu hizo?

Hao hawazuii ulozi wa Yanga. Ni kisingizio tu.
 
Aiseee umenikumbusha huyo Mnyakyusa,sijamsikia siku nyingi sana na kajipotezea umaarufu bure nadhani hivi sasa anatamani sana arudi Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona interview yake kwenye kipindi cha nyundo za Baruan aiseee yule jamaa ni shidda. Yupo Azam now.

Sijui ishabiki wa aina gani ule wa kuweza kuthubutu kuhama. Ila alisema ana kipaji cha kulia hivyo huenda hata siku ile alivyolia akiwa shabiki wa yanga itakuwa alikumbuka bibi zake huko Mbeya ndio akaanza kulia huku nyuma ya pazia ni shabiki mandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…