Hawaamini ulozi lakini wamekesha uwanjani wakifanya ulozi.πππ sawa Mtani. ππππ
Ewaaaaa. π hata tukiwa kumi tutaonekana tu. πππNishakuchukulia mojaaa....nitakupitia hapo tukawawakilishe wa algeria
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima waarabu wakae.. JS Saoura ni kama waarabu wengine waliofungwa na Simba SC
Wale kule ndo wanaogopa waarabu mno![emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo una haki ya kuji quote.
Leo una haki ya kuji quote.
Game over! You have convincingly won.
Mkuu, Kwani message yangu haijaeleweka?Jifanye kama unageuka halafu soma ubao ngapi kwani...This Is Simba SC
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu. Nadhani baada ya kuchungulia umegundua mapema kuwa mchezo umekwisha..!Mkuu, Kwani message yangu haijaeleweka?
Leo sina kelele kabisa. Furahini kwa raha zenu.Nimekuelewa mkuu. Nadhani baada ya kuchungulia umegundua mapema kuwa mchezo umekwisha..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu..Umeonyesha ukomavuLeo sina kelele kabisa. Furahini kwa raha zenu.