King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Naye katua janaView attachment 1708291
hebu toa bange zako, Simba haiwakilishi Taifa, inajiwakilisha yenyewe, Taifa linawakilishwa na timu ya Taifa tu.
Hawa Luc aliwaita manyani ko usishangae wanachokiongeaHivi kwanini Utopolo ahadi zenu kwenye mpira ni kuvua nguo? Kulikoni
Covid imekimbilia kichwani wewe,nenda hospitali fasta ukamuone daktari.Kila lakher Al Ahly
Nyie wamatumbi hamuwezi Vita na mwarabu hata siku moja
Kampe dayati kwanza Mwakalebela apunguze kitambi.ukifanikiwa ndo utembee uchi.Simba akipata hata droo nitatembea uchi kariakoo, i swear
Huyu mbona alikuwepo tulipowafunga goli mojaWanaijeria wapo Ulaya kina Iheanacho na Moses, huyu aliyepo Al Ahly ni Molinga anayelipwa vizuri tu.
ni kitu ambacho ni rahisi kufanywa na vichaaHivi kwanini Utopolo ahadi zenu kwenye mpira ni kuvua nguo? Kulikoni
kuna mwenzako aliahidi mavi kwenye game ya As VitaSimba akipata hata droo nitatembea uchi kariakoo, i swear
Ndio jambo rahisi kwao mkuuHivi kwanini Utopolo ahadi zenu kwenye mpira ni kuvua nguo? Kulikoni
Tz toka lini mkaiweza digital tech?Ni kitu gani kinakwamisha tiketi kuuzwa ki electronic.
Kwa mpira UPI?ule ule mliocheza dhidi ya biashara?Mwarabu atakufa tu atake asitake
Thubutuu!!Kuna mtu anaenda kula 5
Game itaisha hivi
Simba 2 Alahly 0
kuna mwenzako aliahidi mavi kwenye game ya As Vita
Baada ya game si akasepa, watu walienda kumchoropoa chumbani akiwa yupo na mkewe watu wakiwa hawaelewi, wamepagawa wanadai mavi tu.
Unajua alisemaje?
Alisema mazee muda mchache uliyopita nimetoka kutoa kipande so saizi sitaweza stimu zishakata
Watu kwani walimuelewa?....wahuni wakazunguka gengeni dakika mbili wakarudi na msosi wakasema "ishu ni stimu mzee?" msosi huu hapa kula utupe mavi. Jamaa akachachawa akicheki ni machizi ambao anapiga nao story fresh na itani nwingi ila pale watu walikua serious
Bahati nzuri alikuja kuombewa msamaha na mwenyekiti wa mtaa dakika ya mwisho kabisa akiwa anakaribia kukabidhi ahadi yake kwa kiapo cha kutokuja kuweka ahadi kama hizi na kutoa faini ya 50k
Bugatti kiboko ya Utopolo amesheheni silaha nzito nzito kuelekea kwenye Vita vya Kimbari uwanjani dhidi ya National Al AhlyView attachment 1708667
Thubutu nini?Thubutuu!!