Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.
hebu toa bange zako, Simba haiwakilishi Taifa, inajiwakilisha yenyewe, Taifa linawakilishwa na timu ya Taifa tu.

Chura kimeibuka na Wivu wa kufa mtu mpaka kimesahau kuwa Simba Kama Timu ya Mpira inasimamiwa na Wizara inayohusu Michezo.

Nyinyi mtaendelea kuwakilisha Species za Chura na Nyani tu.
 
Simba akipata hata droo nitatembea uchi kariakoo, i swear
kuna mwenzako aliahidi mavi kwenye game ya As Vita

Baada ya game si akasepa, watu walienda kumchoropoa chumbani akiwa yupo na mkewe watu wakiwa hawaelewi, wamepagawa wanadai mavi tu.

Unajua alisemaje?

Alisema mazee muda mchache uliyopita nimetoka kutoa kipande so saizi sitaweza stimu zishakata

Watu kwani walimuelewa?....wahuni wakazunguka gengeni dakika mbili wakarudi na msosi wakasema "ishu ni stimu mzee?" msosi huu hapa kula utupe mavi. Jamaa akachachawa akicheki ni machizi ambao anapiga nao story fresh na itani nwingi ila pale watu walikua serious

Bahati nzuri alikuja kuombewa msamaha na mwenyekiti wa mtaa dakika ya mwisho kabisa akiwa anakaribia kukabidhi ahadi yake kwa kiapo cha kutokuja kuweka ahadi kama hizi na kutoa faini ya 50k
 
Bugatti kiboko ya Utopolo amesheheni silaha nzito nzito kuelekea kwenye Vita vya Kimbari uwanjani dhidi ya National Al Ahly
Screenshot_20210221-203333.jpg
 
Game itaisha hivi
Simba 2 Alahly 0

Wewe Scars itake Radhi National Al ahly.

Kaka unapenda sana kuota ndoto mchana. Mimi sioni kama mnakikosi cha kuifunga timu bora Africa. Yaani mkijitahidi sana Mikia mmetoa suluhu.

Endeleeni kumfuatisha Manara
 
kuna mwenzako aliahidi mavi kwenye game ya As Vita

Baada ya game si akasepa, watu walienda kumchoropoa chumbani akiwa yupo na mkewe watu wakiwa hawaelewi, wamepagawa wanadai mavi tu.

Unajua alisemaje?

Alisema mazee muda mchache uliyopita nimetoka kutoa kipande so saizi sitaweza stimu zishakata

Watu kwani walimuelewa?....wahuni wakazunguka gengeni dakika mbili wakarudi na msosi wakasema "ishu ni stimu mzee?" msosi huu hapa kula utupe mavi. Jamaa akachachawa akicheki ni machizi ambao anapiga nao story fresh na itani nwingi ila pale watu walikua serious

Bahati nzuri alikuja kuombewa msamaha na mwenyekiti wa mtaa dakika ya mwisho kabisa akiwa anakaribia kukabidhi ahadi yake kwa kiapo cha kutokuja kuweka ahadi kama hizi na kutoa faini ya 50k

Tatizo Scars hautaki kukubali ukweli . Kama fowadi ni kagera. 5 chances lakini anatoka bila Goli. Tegemeni maafa. Narudia tena sioni fowadi ya kuifunga Timu Bora Africa.

Halafu huyu Bwalya wa Simba ni Mchimba chumvi tu hana Focus na concentration kwenye mpira kama Chikwende. Sasa Bwalya Original ametia miguu , Mikia kazi mnayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom