Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.
Twende mnyama mkali, kuna watu wanafikiri sisi ni size yao kwa vile tupo nao nchi moja, Yaani wao wanamuogopa hadi Kagera sugar hadi wanatamani wakimbie ligi.

Hawa waarabu tunawapiga hapa pamoja na kamati yao ya mapokezi
Hawa ni Ahly wa Misri unavyotumia neno waarabu kumbuka kuna waarabu wengi tu na sio wamisri hata kina Muchacho ni Simba damu na wengi tu ni sawa wa misri waseme funga hawa waafrica haikai vizuri haileti maana. Ni mechi ya Simba ya Tanzania na Alhly ya Misri sio waarabu turekebishe kauli ndogo ndogo kama hizi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hao ndo waarabu halisi, hapa Mimi siandiki kitabu wala makala
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hao ndo waarabu halisi, hapa Mimi siandiki kitabu wala makala
Waarabu, Egypt, Libya, Tunis, Algeria, Saudi, UAE, Oman sijui Lebanon na wengine wengi tu lazima uwe specific team hii ni ya Egypt na hata Alhly kocha tu wabondeni kuna wachezaji wa Nigeria sijui Zambia sio waarabu wale ni wachezaji wa Alhly ya Misri. Simba sio team ya waafrica ni club ya Tanzania.
 
Baada ya mchezo wasitokee wajinga wa kusema Al ahly haikuwa kwenye kiwango, ooh wamepuliziwa dawa, ooh figisu, ooh simba na paka, oooh majeruhi. Tunataka hata baada ya mechi mkubali kuwa simba imeifunga club mnayoiita bora Africa.Maana hata kwa vita mlipiga kelele hivi, ila ilipofungwa mkasema Sio vita mnayoijua☹️.

NB:Hii game mwarabu anakufa kwa zaidi ya goli moja.
 
Shida yako ni ipi? Kwamba ujaelewa kua Hao Al Ahly ni waarabu au?
 
Sina shida yoyote. Jifunze tu mbona rahisi ALAHLY YA EGYPT hakuna team alahly ya waraabu. msg deliver
Nawewe tuondolee ujuaji wako hapa. Kama huna cha kuipongeza Simba SC kaaa kimia, kama unataka kuelimisha watu kuhusu Waarabu na Uarabu fungua uzi wako. Kuna watu wanajifanya wajuaji utadhani wana PhD ya Philosophy kama huyu pimbi
 
Kila la Kheri Chama langu Gari ishawaka mpaka FINAL (Mwisho) wa safari yetu tulioikusudia
 
Nawewe tuondolee ujuaji wako hapa. Kama huna cha kuipongeza Simba SC kaaa kimia, kama unataka kuelimisha watu kuhusu Waarabu na Uarabu fungua uzi wako. Kuna watu wanajifanya wajuaji utadhani wana PhD ya Philosophy kama huyu pimbi
Kupongeza 🤣 🤣 🤣 🤣 😉
 
Wewe ni mgeni sana kwenye soka la africa endelea kukomaa
 
Sina shida yoyote. Jifunze tu mbona rahisi ALAHLY YA EGYPT hakuna team alahly ya waraabu. msg deliver
Ko hao Wa Egypt sio Waarabu au? Au umeamua tu kuonyesha ushamba wako.?
 
Ko hao Wa Egypt sio Waarabu au? Au umeamua tu kuonyesha ushamba wako.?
Acha ushamba wewe hakuna team duniani inaitwa Al Ahly ya waarabu wala hakuna nchi inaitwa waarabu. Al Ahly ya Egypt wala hakuna Simba ya Africa ni Simba ya Tanzania mbona mnajitoa ufahamu
 
Acha ushamba wewe hakuna team duniani inaitwa Al Ahly ya waarabu wala hakuna nchi inaitwa waarabu. Al Ahly ya Egypt wala hakuna Simba ya Africa ni Simba ya Tanzania mbona mnajitoa ufahamu
Sirudii kukujibu kumbe ujinga wako huko hapo, ujui hata matumizi ya lugha, ukiwa Tanzania uwezi ukasema Simba ya Tanzania lakini ukiwa Kenya utasema Simba ya Tanzania, hata ningekua kwenye nchi za kiarabu nisingesema Al Ahly ya waarabu hapo nisingeweza kutofautisha, hapo ningesema ya Egypt, Ila kwa vile Niko nchi ambayo haipo miongoni mwa nchi za kiarabu Niko sahihi kusema hivyo.
Nilikua napata shida kukuelewa kumbe shida ni kutokujua matumizi ya maneno ya lugha.
Ukiwa katikati ya wahehe na wewe ni mhehe siwezi kusema Heijah mhehe ila nitataja kua we ni mhehe wa sehemu gani, Ila ukiwa katikati ya wachanga nitasema we ni mhehe haina haja ya kusema we ni mhehe wa sehemu gani.
Kama ujaelewa mtafute mwalimu wako wa lugha, maana kueleweshwa wajinga kama nyie shida kubwa sana hasa uwe mshabiki wa kidimbwi fc.
 
Tuseme uko sawa kwa hiyo mimi nikiwa nje niite Simba ya waafrica au? Simba ya Tanzania. Na wewe kwa sababu uko nje ulitakiwa kusema Alhly ya Egypt ukisema waarabu nitakuuliza waarabu wapi LIbya? Egypt ni Africa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…