bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Siku hizi vijana hawafundishwi elimu ya mahusiano thus ndoa uwashinda mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kataa ndoa wako wapi leo??Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa huchagua mfungwa wenziwe wa kuishi nae gerezani.
2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
3. Ndoa ni kipimo cha uvumilivu, hapa sasa kila mmoja na uwezo wake kwenye kuvumilia mambo yaliyomo ndoani, kuna uvumilivu kwa mambo na aina tofauti. Na wasio wavumilivu huishia ugomvi usiokwisha ikiwemo kupigana na mwisho wa siku kuishindwa ndoa.
4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu, hapa sasa nataka niweke bayana baadhi ya mambo. Kuoa sio kwa ajili ya kupata watoto tu kwani hata watu wasio na ndoa wanao uwezo wa kupata watoto, isipokuwa utofauti uliopo watoto wanaolelewa na wazazi wao wakiwa ndoani hadi kufikia kuwa wakubwa huwa na makuzi mazuri sana.
Hasa ikichangiwa na wazazi wakiwa ni washika dini ipasavyo na hapa ndio pale ambapo utofauti wa mtoto aliyelelewa na wazazi wake na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja huonekana. Wazazi huweza kusaidiana majukumu mbali mbali ya kimalezi na kadhalika hiyo yote ni katika kuhakikisha watoto wao wanawalea katika misingi iliyo bora, huo ndio utu.
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa. Kitendo cha kukosa utu ni kama vile kumuachia mwanamke mtoto alee peke yake, au mtoto kulelewa na mama mwengine asiye mama yake wa kumzaa, kitendo ambacho aidha kitapandikiza chuki kwa mtoto dhidi ya baba yake au mama yake.
Mwisho kabisa napenda niseme "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Ahsante.
Wasio na akili wooote hii ndio huwa point yao.Isaac Newton kaacha alama kubwa hapa duniani kuliko wewe uliye oa ambae hata mtaani kwako sidhani kama kuna alama yoyote ya kukumbukwa utaacha.
Wewe una akili ?Wasio na akili wooote hii ndio huwa point yao.
Hivi unaijua ndoa inavyochanganya?alafu uwe wale najua kuoa sijui kuacha,mbona utaandika bila paragraph?Ndo ushindwe kutenganisha paragraph? Inaumiza kwenye kusoma, woiiih
Hongera mkuu, inaonekana mda wa uchumba uliutumia vizuri katika kuchunguzana.
Hapo Kuna mwamba anatimiza miaka 7 na mtoto mmoja Ni wakeMwaka ujao,natimiza miaka 10 ya ndoa,ndoa ni nzuri,familia ni nzuri,kila napoamka asubuhi nawaona watoto wangu wanavyonifurahia,naporudi nyumbani wanavyonikimbilia na kunikumbatia,nahisi faraja,Upendo,amani najawa na tumaini katika maisha🙏
Kwa niaba ya Moderators naomba nikupongeze. Hongera sana Mkuu.Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa huchagua mfungwa wenziwe wa kuishi nae gerezani.
2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
3. Ndoa ni kipimo cha uvumilivu, hapa sasa kila mmoja na uwezo wake kwenye kuvumilia mambo yaliyomo ndoani, kuna uvumilivu kwa mambo na aina tofauti. Na wasio wavumilivu huishia ugomvi usiokwisha ikiwemo kupigana na mwisho wa siku kuishindwa ndoa.
4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu, hapa sasa nataka niweke bayana baadhi ya mambo. Kuoa sio kwa ajili ya kupata watoto tu kwani hata watu wasio na ndoa wanao uwezo wa kupata watoto, isipokuwa utofauti uliopo watoto wanaolelewa na wazazi wao wakiwa ndoani hadi kufikia kuwa wakubwa huwa na makuzi mazuri sana.
Hasa ikichangiwa na wazazi wakiwa ni washika dini ipasavyo na hapa ndio pale ambapo utofauti wa mtoto aliyelelewa na wazazi wake na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja huonekana. Wazazi huweza kusaidiana majukumu mbali mbali ya kimalezi na kadhalika hiyo yote ni katika kuhakikisha watoto wao wanawalea katika misingi iliyo bora, huo ndio utu.
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa. Kitendo cha kukosa utu ni kama vile kumuachia mwanamke mtoto alee peke yake, au mtoto kulelewa na mama mwengine asiye mama yake wa kumzaa, kitendo ambacho aidha kitapandikiza chuki kwa mtoto dhidi ya baba yake au mama yake.
Mwisho kabisa napenda niseme "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Ahsante.
Nimeleta kama swali,sijaleta kama hoja. Pia jitahidi kusoma key point za swali husika kabla haujaandika unachowaza!!Kwahiyo unataka kusema mababu na mabibi zetu waliodumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 80 hawakuwa na akili timamu? Asiye na akili ndio anaikimbia ndoa, we umeona wapi kichaa akaoa? Na ndio maana moja ya vigezo vya mtu kuoa awe na akili timamu.
Kwani kuna tofauti kati ya ndoa na kuishi na mwanamke?Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa huchagua mfungwa wenziwe wa kuishi nae gerezani.
2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
3. Ndoa ni kipimo cha uvumilivu, hapa sasa kila mmoja na uwezo wake kwenye kuvumilia mambo yaliyomo ndoani, kuna uvumilivu kwa mambo na aina tofauti. Na wasio wavumilivu huishia ugomvi usiokwisha ikiwemo kupigana na mwisho wa siku kuishindwa ndoa.
4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu, hapa sasa nataka niweke bayana baadhi ya mambo. Kuoa sio kwa ajili ya kupata watoto tu kwani hata watu wasio na ndoa wanao uwezo wa kupata watoto, isipokuwa utofauti uliopo watoto wanaolelewa na wazazi wao wakiwa ndoani hadi kufikia kuwa wakubwa huwa na makuzi mazuri sana.
Hasa ikichangiwa na wazazi wakiwa ni washika dini ipasavyo na hapa ndio pale ambapo utofauti wa mtoto aliyelelewa na wazazi wake na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja huonekana. Wazazi huweza kusaidiana majukumu mbali mbali ya kimalezi na kadhalika hiyo yote ni katika kuhakikisha watoto wao wanawalea katika misingi iliyo bora, huo ndio utu.
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa. Kitendo cha kukosa utu ni kama vile kumuachia mwanamke mtoto alee peke yake, au mtoto kulelewa na mama mwengine asiye mama yake wa kumzaa, kitendo ambacho aidha kitapandikiza chuki kwa mtoto dhidi ya baba yake au mama yake.
Mwisho kabisa napenda niseme "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Ahsante.
Kuna thinking and reasoning reasoning capacity fulani ukiwa nayo mahusiano yanakuwa mtihani Mkubwa sana, hasa nature ya malezi na imani za jamii zetu.Kwahiyo unataka kusema mababu na mabibi zetu waliodumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 80 hawakuwa na akili timamu? Asiye na akili ndio anaikimbia ndoa, we umeona wapi kichaa akaoa? Na ndio maana moja ya vigezo vya mtu kuoa awe na akili timamu.
Huyo mwanamke iko siku utamtimua endapo mtatofautiana na kibaya zaidi hapo alipo hana haki wala wajibu ni kama unamtumikisha na siku ukimtimua popote atakapokwenda hawezi kupata msaada wa kisheria kwa sababu itaonekana mlikuwa mnaishi na hamna ndoa. Hivyo kigezo hicho ndio kama ushindi kwako.Kwani kuna tofauti kati ya ndoa na kuishi na mwanamke?
Mimi naishi na mwanamke na tunalea watoto wetu, je nina tofauti gani na wewe?
Kumbe kufunga ndoa ni kwa ajili ya kujihami.Huyo mwanamke iko siku utamtimua endapo mtatofautiana na kibaya zaidi hapo alipo hana haki wala wajibu ni kama unamtumikisha na siku ukimtimua popote atakapokwenda hawezi kupata msaada wa kisheria kwa sababu itaonekana mlikuwa mnaishi na hamna ndoa. Hivyo kigezo hicho ndio kama ushindi kwako.
Sio kila mtu anatamani ndoa mkuu badili hapoHabari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa huchagua mfungwa wenziwe wa kuishi nae gerezani.
2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
3. Ndoa ni kipimo cha uvumilivu, hapa sasa kila mmoja na uwezo wake kwenye kuvumilia mambo yaliyomo ndoani, kuna uvumilivu kwa mambo na aina tofauti. Na wasio wavumilivu huishia ugomvi usiokwisha ikiwemo kupigana na mwisho wa siku kuishindwa ndoa.
4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu, hapa sasa nataka niweke bayana baadhi ya mambo. Kuoa sio kwa ajili ya kupata watoto tu kwani hata watu wasio na ndoa wanao uwezo wa kupata watoto, isipokuwa utofauti uliopo watoto wanaolelewa na wazazi wao wakiwa ndoani hadi kufikia kuwa wakubwa huwa na makuzi mazuri sana.
Hasa ikichangiwa na wazazi wakiwa ni washika dini ipasavyo na hapa ndio pale ambapo utofauti wa mtoto aliyelelewa na wazazi wake na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja huonekana. Wazazi huweza kusaidiana majukumu mbali mbali ya kimalezi na kadhalika hiyo yote ni katika kuhakikisha watoto wao wanawalea katika misingi iliyo bora, huo ndio utu.
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa. Kitendo cha kukosa utu ni kama vile kumuachia mwanamke mtoto alee peke yake, au mtoto kulelewa na mama mwengine asiye mama yake wa kumzaa, kitendo ambacho aidha kitapandikiza chuki kwa mtoto dhidi ya baba yake au mama yake.
Mwisho kabisa napenda niseme "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Ahsante.
Malizia "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"Narudia tena chonde chonde narudia tena chonde chonde