Nyieeee jamaniππππNapenda kumshukuru mkuu wangu wa mkoa japo waif Hana tako kiviile laakini tundaishi kwa amani Sana.
Pongezi zake kapataa na anazo.mpongeze kwa miaka 10 basi
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona naukalia na kuuinamia mti nyama, au nyama ngumu.Wewe kila kitu kwako kigumu, hata kuvunja biskuti [emoji38][emoji38][emoji38]
Huku ukiukatikia! Hivi unaukatikia ukiwa umefumba macho au umefumbua?! Baaaa diiiiπππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ[emoji23][emoji23][emoji23] mbona naukalia na kuuinamia mti nyama, au nyama ngumu.
Wee mie kuna vitu rahis kwangu, kwa wengine vigumu.
Ubarikiwe sana mkuu ππΎMwaka ujao,natimiza miaka 10 ya ndoa,ndoa ni nzuri,familia ni nzuri,kila napoamka asubuhi nawaona watoto wangu wanavyonifurahia,naporudi nyumbani wanavyonikimbilia na kunikumbatia,nahisi faraja,Upendo,amani najawa na tumaini katika maishaπ
ππππUbarikiwe sana mkuu ππΎ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiseme sanaa, ba tamu ndo anajua nn huwa nafanyagaa, hapindui hapaa.Huku ukiukatikia! Hivi unaukatikia ukiwa umefumba macho au umefumbua?! Baaaa diiii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2097][emoji2097][emoji2097]
Na mauno kama paka chongo au sio! π€¦πΎπ€¦πΎπ€¦πΎ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiseme sanaa, ba tamu ndo anajua nn huwa nafanyagaa, hapindui hapaa.
Kuna jicho la ulevi naliwekaga nikiwa naukatikia, woiiiih
Mzagamuo ni mtamuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana my FriendHabari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa.
1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa huchagua mfungwa wenziwe wa kuishi nae gerezani.
2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
3. Ndoa ni kipimo cha uvumilivu, hapa sasa kila mmoja na uwezo wake kwenye kuvumilia mambo yaliyomo ndoani, kuna uvumilivu kwa mambo na aina tofauti. Na wasio wavumilivu huishia ugomvi usiokwisha ikiwemo kupigana na mwisho wa siku kuishindwa ndoa.
4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu, hapa sasa nataka niweke bayana baadhi ya mambo. Kuoa sio kwa ajili ya kupata watoto tu kwani hata watu wasio na ndoa wanao uwezo wa kupata watoto, isipokuwa utofauti uliopo watoto wanaolelewa na wazazi wao wakiwa ndoani hadi kufikia kuwa wakubwa huwa na makuzi mazuri sana.
Hasa ikichangiwa na wazazi wakiwa ni washika dini ipasavyo na hapa ndio pale ambapo utofauti wa mtoto aliyelelewa na wazazi wake na mtoto aliyelelewa na mzazi mmoja huonekana. Wazazi huweza kusaidiana majukumu mbali mbali ya kimalezi na kadhalika hiyo yote ni katika kuhakikisha watoto wao wanawalea katika misingi iliyo bora, huo ndio utu.
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa. Kitendo cha kukosa utu ni kama vile kumuachia mwanamke mtoto alee peke yake, au mtoto kulelewa na mama mwengine asiye mama yake wa kumzaa, kitendo ambacho aidha kitapandikiza chuki kwa mtoto dhidi ya baba yake au mama yake.
Mwisho kabisa napenda niseme "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Ahsante.
Update
04 APRIL 2024 πππππ
Kwenye mauono, hapa huwa ananikataza had anasema "babee pole pole bas utavunjaa ududu wenyewe"Na mauno kama paka chongo au sio! [emoji1747][emoji1747][emoji1747]
Una mauno kweli au ndio mwendo wa funza! πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈKwenye mauono, hapa huwa ananikataza had anasema "babee pole pole bas utavunjaa ududu wenyewe"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]