hahahah dah yani mkuu umenifuraisha sanaMi napita tu wakuu, Madaktari wenye Diploma na Waalimu naona mnang'atana meno fulani anakula ndefu mwingine sijuwi fupi, huku mitaani wake zenu wanatusumbua kwa mizinga! Duh.
Angekuwa hata nesi mwenye diploma toka 86 na diploma yake angekuwa anashinda CASINO kabisa, angukuwa anapiga 5M*2. 5 flani hiviMwishoni ndio umeharibu ndugu, lakini kuna mwalimu anapokea million 5 tuko nae jirani yaani toka mwaka 86 alikuwa na degree akianzia tarehe 1mpaka 30 anashinda baa tu
NotedYou missed the point! Huwezi kulinganisha mishahara ya madaktari, waalim na injinia. wazo lako zuri la kulinganisha mishahara ya kada moja. mfano, mwalimu aliyesoma degree akifanya kazi Tarime awe na mshahara sawa na aliyesoma naye lakini yupo wizara ya elimu. Daktari wa degree 3 aliyeko University alipwe sawa na dakitari kama huyo aliyeko hospital/research centre.
Wewe mawazo yako ni finyu sana, yaani mimi nilieyekaa darasani miaka 5 ya udaktari, mwaka mmoja intern, nilingane na wewe wa miaka 3, si itakuwa maajabu haya, Hilo halitakaa litokee, unajua strength ya shule ya medicine wewe?habari wanandugu!
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani Moja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya Wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi Wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu Wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu Wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu. yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti
by mkulima Wa nyanya
U tofauti lazima uwepo sana tu,ulingane na utofauti wa daktari kutafuta division 1 ya form 6 PCB ,na wa mwalimu kutafuta division 3 ya HGL....Waipange upya ila isilingane kabisa kuwe na katofauti kadogo hata ka elf 60 kuna watu wanakofanya kazi Mungu awasaidie tu japo kwa sasa tofauti ni kubwa
Hahahaha eti kuchambua ubongo, ila nina mashaka na uwezo wako wa kufikiliukiona mshahara haukutoshi kwa kuwa eti unafanya kazi ya kuchambua ubongo, kaa nyumbani usubiri kuchambua ubongo Wa wanafamilia yako
Sidhani kama tumefikia huko kwenye kupanga mishahara upya!!!!Mishahara hupangwa baada ya kufanyika utafiti siyo uhakiki.Na ndiyo maana kwa kiwango kimoja cha taaluma watu watatofautiana!Mfano,mkufunzi msaidizi wa chuo kikuu ana digrii moja sawa pengine na mwalimu wa sekondari lakini mshahara wa mkufunzi uko juu sana ya ule wa mwalimu wa sekondari.habari wanandugu!
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani Moja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya Wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi Wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu Wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu Wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu. yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti
by mkulima Wa nyanya
Nani kakudanganya kila daktari kasomeshwa na serikali?Hivi serikali si iliwasomesha bure nyie? Acheni dharau wenzenu wanakatwa na bodi nyie mnalamba zote.Serikali ikitaka kuwaongezea mnavimba kanakwamba mnalipa nyinyi hiyo mishahara.Hii mada inathibitisha ukweli kua Tanzania tuna vichaa wa kutosha.
Haelewi huyuNani kakudanganya kila daktari kasomeshwa na serikali?
Mwambie huyo!hivi unadhani Huyo anayefikia hatua ya kuunga mifupa, anashuka kutoka mbinguni?
Sasa ndio unataka mwalimu wa chekechea kwa kuwa alinifundisha kusoma au mwalimu wa history form 3 alinifundisha vita vya majimaji ndio afanane mshahara sawa na daktari, ndio mana narudia tena wengi waliofeli ndio walimuMwambie huyo!
Ajibu swali hili kwanza"what is the primary source of knowledge?" mpaka mchambua ubongo,muunga mifupa n.k anakuwa hivo alianzaje kuvijua?
Si alifundishwa vi-definition(kama alivyosema) na mwalimu?
Tena vya;
1.What is biology? (Ka-form one hapo kapokapo tu,unakakataza kelele).
2.You!what is microorganisms?
3.What are the common diseases and infection?
4.What is coronary thrombosis?
5.What do you understand about arteriosclerosis?
Halafu kanajua,eti badae MWALIMU hana maana tena looo!!!maajabu haya.
Ni muhimu sana MWALIMU aangaliwe mshahara wake.Usimchukulie poa hata kidogo
"Kazi kubwa ya mwalimu ni kuondoa ujinga na kubadili fikra za wajinga hao wasiojua" Mwl,Nyerere
Poleni walimu wote wa Tanzania. Mtetezi wenu alifariki Msanii Mkoloni RIP.
Dictari anaweza Kuwa mwalimu lakini mwalimu hawezi Kuwa dactariwe hujui taifa bila walimu hakuna cha kuwepo daktari wala nani we ki la za
Hata kama, ila haitakuja tokea Mwalimu wa Civics kulipwa sawa na Daktarihivi unadhani Huyo anayefikia hatua ya kuunga mifupa, anashuka kutoka mbinguni?