Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi.
2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea wakati wa vuguvugu hili. Matukio ya kihalifu yanayoweza kutokea ni pamoja na utekaji, utesaji, mauaji, uvurigaji wa mchakato nk.
Yote hayo yarekodiwe kwa kina yaani kila mhusika awe recorded majina na cheo chake na anapoishi au anapofanyia kazi. Hii itasaidia kuwa na reference nzuri huko mbeleni.
La pekee sana ni kwamba, tusipokuwa tayari kwa lolote, ni vema tukae tu kimya tuendelee kushuhudia umaskini haki za Watanzania zikiporwa mchana kweupe.
Chembe ya ngano isipokufa kwanza hubaki hali ile ile bila kuzaliana.
Tujitoe SADAKA ikibidi kufanya hivyo.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika na watu wake. Amina