Sio kweli. Jirani zetu wengi wanapenda kuishi Tz. Walidhania kuwa na kitambulisho cha mpiga kura itakuwa favour.Kwahiyo kumbe ni kweli kwamba kuna wageni walisombwa na kupelekwa kujiandikisha ili kuokoa ccm kwenye uchaguzi ule ?
Sheria cap306 ya 2010 ibara ya 93 ibara ndogo ii haikitambui kitambulisho Cha mpigakura katika usajiri wa simu, Ni takwa la kisheriaBado sijaelewa kukataliwa kwa kitambulisho hiki muhimu sana kinachotumika kwenye jambo sensitive la Kupata viongozi wa nchi kwenye kusajili line za simu inatokana na nini .
Kulikuwa na uvumi wa kuandikishwa hata wageni kwenye uchaguzi mkuu 2015 ili kusaidia ccm , Je ni kweli kwamba wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kuna maelfu ya wageni walisajiliwa ili kupiga kura za kuiokoa ccm , na sasa serikali inawaogopa ? line za simu zina umuhimu gani kushinda uchaguzi wa nchi ?
Naomba mwenye uelewa wa hili anifafanulie
kwamba walijiandikisha halafu hawakupiga kura siyo ?Sio kweli. Jirani zetu wengi wanapenda kuishi Tz. Walidhania kuwa na kitambulisho cha mpiga kura itakuwa favour.
Kuna Alina mama wako tanga wanavitambulisho vya mpiga Kura PembaKwahiyo kumbe ni kweli kwamba kuna wageni walisombwa na kupelekwa kujiandikisha ili kuokoa ccm kwenye uchaguzi ule ?
unadhani kwanini walikusudia kutokukitambua ?Sheria cap306 ya 2010 ibara ya 93 ibara ndogo ii haikitambui kitambulisho Cha mpigakura katika usajiri wa simu, Ni takwa la kisheria
ndio wale mnaowasomba na maboti ?Kuna Alina mama wako tanga wanavitambulisho vya mpiga Kura Pemba
Hicho Ni Kama kuponi tu, Ni kwa ajili ya kupiga Kura na si utambulisho yaani I'dunadhani kwanini walikusudia kutokukitambua ?
Watu wameshafanya unasemaje haiwezekani
Hauko peke yako.Halafu tunavyoandika humu watu wamatuona wazeeeembe kutokuwa na no za nida, hawajui wengine tumejiandikisha tangu 2012 nimekikanyagia hadi wilaya ikagawanywa lakini waaapi.
Haya wakatoa no za kuangalia no zako za Id kwenye simu nao ndio nikachoka kabisa ati wanasema taarifa zangu hazijakamilika.
Nimehama mkoa nikaenda tena nida mwaka jana mwezi wa 9 na ile risiti ya 2012 ati wananiambia nirudi tena Dar aseee.!!? Fungeni mamayo nyie.
Maana yake ni kwamba uchaguzi si jambo muhimu sana .Hicho Ni Kama kuponi tu, Ni kwa ajili ya kupiga Kura na si utambulisho yaani I'd
Mie naweza kuwa mkazi wa Dar kwa mapenzi yangu kwa zitto au estabulaya nikaamua kujiandikisha kupiga Kura kigoma au bunda hivyo haimaanishi Mimi Ni mkazi wa kigoma Ila nida au tin au business registration inaonyesha anuani ya nakazi kisheriaMaana yake ni kwamba uchaguzi si jambo muhimu sana .
Ngoja tuoneni serikali ya aibu ambayo kushindwa kwake inasingizia raia !
kupiga kura bunda au kigoma inamuondolea mtu kuwa raia wa Tanzania ?Mie naweza kuwa mkazi wa Dar kwa mapenzi yangu kwa zitto au estabulaya nikaamua kujiandikisha kupiga Kura kigoma au bunda hivyo haimaanishi Mimi Ni mkazi wa kigoma Ila nida au tin au business registration inaonyesha anuani ya nakazi kisheria
Haionyeshi Kama Ni mkazi wa bunda au kigomakupiga kura bunda au kigoma inamuondolea mtu kuwa raia wa Tanzania ?
mimi ni raia wa kawaida tu kama wewe.
nikweli nakubaliana na wewe, mimi nimeamza kufatilia kitambulisho mwaka 2012 nikaambiwa umri bado wa kuanza hiyo process mwaka uliofata nikaanza process rasmi na kila kitu nimemaliza na kitambulisho mpaka leo sijapata bado utauliza nilikuwa wapi kujiandikisha?? mind you, siko peke yangu katika hili swala.
hilo neno sababu za msingi ndilo ulilotakiwa kusema katika maandiko yako sio upo nyuma ya keyboard unaropoka tu kama umekunywa gongo "Watanzania wapuuzi" nenda huko kwenye mafoleni ukaone watu wanavyochomeka na jua kwanza halafu ndo uje kuandika vzr.