Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Mi mwenyew nasubilia hiyo tarehe 20 haiwezekani nijiandikishe mwez wa 9/2019 baadae naambiwa eti niapply nimekosea majina.
 
Kwahiyo kumbe ni kweli kwamba kuna wageni walisombwa na kupelekwa kujiandikisha ili kuokoa ccm kwenye uchaguzi ule ?
Sio kweli. Jirani zetu wengi wanapenda kuishi Tz. Walidhania kuwa na kitambulisho cha mpiga kura itakuwa favour.
 
Bado sijaelewa kukataliwa kwa kitambulisho hiki muhimu sana kinachotumika kwenye jambo sensitive la Kupata viongozi wa nchi kwenye kusajili line za simu inatokana na nini .

Kulikuwa na uvumi wa kuandikishwa hata wageni kwenye uchaguzi mkuu 2015 ili kusaidia ccm , Je ni kweli kwamba wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kuna maelfu ya wageni walisajiliwa ili kupiga kura za kuiokoa ccm , na sasa serikali inawaogopa ? line za simu zina umuhimu gani kushinda uchaguzi wa nchi ?

Naomba mwenye uelewa wa hili anifafanulie
Sheria cap306 ya 2010 ibara ya 93 ibara ndogo ii haikitambui kitambulisho Cha mpigakura katika usajiri wa simu, Ni takwa la kisheria
 
Kwahiyo kumbe ni kweli kwamba kuna wageni walisombwa na kupelekwa kujiandikisha ili kuokoa ccm kwenye uchaguzi ule ?
Kuna Alina mama wako tanga wanavitambulisho vya mpiga Kura Pemba
 
Sheria cap306 ya 2010 ibara ya 93 ibara ndogo ii haikitambui kitambulisho Cha mpigakura katika usajiri wa simu, Ni takwa la kisheria
unadhani kwanini walikusudia kutokukitambua ?
 
Kwa ambao wamezaliwa Tanzania na kukulia Tanzania na hawajawahi hata kuvuka mpaka wa Tunduma, Namanga au hata Horohoro basi itakuwa vigumu kunielewa hapa.

Aliyepaswa kuhakikisha kila raia anakuwa na kitambulisho cha uraia ni serikali then mtu mmoja mmoja ahakikishe anakuwa na kitambulisho cha uraia.

Wanaokwenda kuzimiwa si wale wenye kukaidi kusajiliwa line zao kwa alama za vidole bali ni wale waliokosa au kucheleweshewa namba au kitambulisho cha NIDA.

Bado utabiri wangu uko palepale kuwa kesho kutwa tarehe 20/01/2020 zoezi litageuka kutoka kuzimwa line za simu mpaka kutumbuliwa mtu kwasababu za kisiasa.
 
Halafu tunavyoandika humu watu wamatuona wazeeeembe kutokuwa na no za nida, hawajui wengine tumejiandikisha tangu 2012 nimekikanyagia hadi wilaya ikagawanywa lakini waaapi.
Haya wakatoa no za kuangalia no zako za Id kwenye simu nao ndio nikachoka kabisa ati wanasema taarifa zangu hazijakamilika.
Nimehama mkoa nikaenda tena nida mwaka jana mwezi wa 9 na ile risiti ya 2012 ati wananiambia nirudi tena Dar aseee.!!? Fungeni mamayo nyie.
Hauko peke yako.
Igelikuwa kuna mfumo thabiti na huru wa sheria, kuna taasisi (NIDA, TCRA au mtandao wa simu) ingefikishwa kizimani kujieleza
 
Maana yake ni kwamba uchaguzi si jambo muhimu sana .
Mie naweza kuwa mkazi wa Dar kwa mapenzi yangu kwa zitto au estabulaya nikaamua kujiandikisha kupiga Kura kigoma au bunda hivyo haimaanishi Mimi Ni mkazi wa kigoma Ila nida au tin au business registration inaonyesha anuani ya nakazi kisheria
 
Mie naweza kuwa mkazi wa Dar kwa mapenzi yangu kwa zitto au estabulaya nikaamua kujiandikisha kupiga Kura kigoma au bunda hivyo haimaanishi Mimi Ni mkazi wa kigoma Ila nida au tin au business registration inaonyesha anuani ya nakazi kisheria
kupiga kura bunda au kigoma inamuondolea mtu kuwa raia wa Tanzania ?
 
mimi ni raia wa kawaida tu kama wewe.

nikweli nakubaliana na wewe, mimi nimeamza kufatilia kitambulisho mwaka 2012 nikaambiwa umri bado wa kuanza hiyo process mwaka uliofata nikaanza process rasmi na kila kitu nimemaliza na kitambulisho mpaka leo sijapata bado utauliza nilikuwa wapi kujiandikisha?? mind you, siko peke yangu katika hili swala.

hilo neno sababu za msingi ndilo ulilotakiwa kusema katika maandiko yako sio upo nyuma ya keyboard unaropoka tu kama umekunywa gongo "Watanzania wapuuzi" nenda huko kwenye mafoleni ukaone watu wanavyochomeka na jua kwanza halafu ndo uje kuandika vzr.

Huwa siropoki wala situmii gongo mdogo wangu, kama 2012 umri wa kupata kitambulisho ulikuwa bado, bado huna uzoefu na tabia zetu Watanzania.

Watanzania wanakasumba ya kufanya kazi kwenye deadline.
 
Kwahel jamii forum 2taonana mungu akipenda,nimefwatilia namba ya nida miez3 bila mafanikio mpaka nimechoka waache wafunge2 lain
 
Back
Top Bottom