Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

NI KOSA LA JINAI KUMSAJILIA MTU LAINI KWA KUTUMIA KITAMBULISHO CHAKO.

ADHABU YAKE NI

MOSI, JELA MIEZI SITA
PILI, AU FAINI YA MILIONI 5
TATU AU JELA NA FAINI YA MIL 5.

Ukiachia hayo, Unamsajilia mtu LAINI KWA KUTUMIA jina lako , KITAMBULISHO CHAKO,

uwe tayari kwa lolote litakalotokea linalohusu makosa ya mtandaoni,
Ikitokea uliyemsajilia kamtukana mtu, Kapanga njama za ujambazi , Mauaji ya mtu , Mmiliki wa hiyo laini Ni wewe uliyemsajilia Hivyo utatafutwa popote ulipo.

kwahiyo siwakatazi kuwasajilia watu. Ila Mimi SIWEZI KUMSAJILIA MTU YEYOTE hata mke wangu hakuwa na NIDA Nimekataa, Kaenda mwenyewe Kapanga foleni kapata NIDA YAKE,

Simu yangu hata kuchaji huwa sipeleki kwa watu, Tena nimeweka pasiword mtu ASIJE akaitumia kumtukana mtu au KUFANYIA UHALIFU WOWOTE.

Simu hizi zitafunga wengi Sana. MF ukiibiwa Simu au laini ukipoteza , Lazima UENDE ukatoe ripoti Polis, Usipoenda na ukabainika jela MIEZI 12,Au FAINI Mil 5.Hapo bado mtu hajaiokota na KUFANYIA UHALIFU.

MAONI YANGU, SIMU YAKO NI JICHO LAKO. HUWEZI KUMWAZIMA MTU WALA KULIACHA ULIPO AU UENDAKO.
 
Ni kosa la Jinai la KUMSAJILIA MTU.

ADHABU YAKE. Ni Kifungo Cha MIEZI Sita au FAINI MILIONI 5
Au vyote faini na Kifungo.

PIA Uwe tayari kukabiliana na UHALIFU WOWOTE atakaoufanya huyo uliyemsajilia laini kwa kutumia taarifa zako pindi afanyapo UHALIFU kwa kutumia MAWASILIANO.

kamtusi mtu, Kapanga Ujambazi, Kaua mtu Basi ujijiue Ni wewe utakayetafutwa kupitia hizo taarifa zako uliyemsajilia .
 
Hawa unaowaongelea ni wale ndugu ambao alama za vidole hazichukuliki kwa sababu ya kukomaa na kilimo? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huu mwenge umeshindikana kupelekwa jumba la makumbusho? basi inawezekana umebeba tambiko la kufa mtu...ngoja tuone
Hawawezi kuupeleka ndugu. Ndiyo uchawi wenyewe waliurithi kutoka kwa mchawi mkuu kale kazee. Na wao wanauendeleza. Nia yao ni ovu sana..kufanya wadanganyika waendelee kuwa makondoo.
 
Mulikua wapi sikuzote hizo, vitambulisho vilianza kutolewa muda mrefu tu mkazembea now ndio mnaangaika

Wajinga watailaumu selikali

Sent using Jamii Forums mobile app
soma sheria ya mawasiliano inatambua vitambulisho zaidi ya vinne na sio national i tu kwenye kusjilia,watu wanasubiri wafungiwe simu zao wakafungue kesi.W AWE WANABADILI SHERIA KWANZA KISHA NDO WATOE MAAGIZO
 
WEWE ACHA KUPOTOSHA WATU, TUMEJIPANGA FOLENI TOKA MWAKA 2008 NA TUKAFANYA PROCESS ZOTE VIZURI KABISA,MPAKA LEO CHENGA KIBAO,SOLI ZA VIATU ZIMEISHA KABISA KWA AJILI YA KWENDA NIDA,TUKAJAZA FOMU KWA MARA NYINGINE HOLA,TUFANYE NINI? JAPO KWELI WAPO WAZEMBE AMBAO HAWAKUCHUKUA HATUA TOKA MWANZO
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Hata hao nida ni wa tz kwahiyo na wenyewe wana shida zaidi
 
Ukiona NIDA wanakuzungusha na kukupiga chenga ilhali ulishawapa data zako zote ujue uraia wako una ukakasi na kukuambia wanashindwa
 
Hawawezi kuupeleka ndugu. Ndiyo uchawi wenyewe waliurithi kutoka kwa mchawi mkuu kale kazee. Na wao wanauendeleza. Nia yao ni ovu sana..kufanya wadanganyika waendelee kuwa makondoo.
Kazee unakaita kachawi wakati wenzio kule wanampango wa kukfanya "MWENYE HERI"
 
Kuna sehemu hujaelewa wewe, kitakachofungwa ni laini tu ambayo haijasajiliwa kwa alama za vidole
 
Kwa taarifa za tcra wamiliki wa simu Ni 21m line hai Ni 46m Ina maana kila mwenye simu alikuwa na line zaidi ya moja na 26m zimesha huishwa kwa vidole, kwa lugha nyingine Kuna mgomo baridi kila mtu kaamua kusajiri line moja na kutupa nyingine.
Hivi hata kama shule hujaenda picha nayo huoni?Hivi hizo foleni huko NIDA ni zanini?
Kwanini kabla ya ku post hujapata japo muda kufikiri?
 
Hivi itakuwa "fair" kweli kutokana na utendaji wa kusua sua kama kinyonga unaofanywa na NIDA, adhabu apewe mtumiaji simu kwa kumzimia simu yake?

Hakika zoezi hili litalazimisha serikali nzima ya JPM, ijitathmini kama iendelee kukaa madarakani

Najua kuwa huyo JPM anaendesha serikali yake kwa kila kitu kukifanya kibabe na kuwafanya watanzania wote ni wapumbavu na malofa, lakini lazima ajue kuna siku ataingia kwenye 18 za wananchi na watamlazimisha ajiuzulu

Yatamkuta yale yanayomkabili Trump katika nchi yake kwa hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…