Seo Kang Joon
Senior Member
- Jan 14, 2020
- 119
- 64
Hata wakifunga kwani imekuwa Oxygen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI KOSA LA JINAI KUMSAJILIA MTU LAINI KWA KUTUMIA KITAMBULISHO CHAKO.Kwanza niwape pole wale wote ambao wanashinda ofisi za NIDA bila kufanikiwa.
Ukweli process ya vitambulisho ni ndefu sana.
Kwa wale ambao hawana vitambulisho vya NIDA unaweza tafuta ndugu yako ukasajili kwa kutumia kitambulisho chake, kitambulisho kimoja kinaruhusiwa kusajili laini 10.
Kwa wale ambao hawajasajili hakikisha fedha zote umezitoa na kama umezoea kutumia mobile banking hakikisha kadi yako ya ATM ipo valid otherwise utapata usumbusu mkubwa sana kupanga foleni bank na kupata ATM mpya inachukua more than one week.
Kwa NIDA nashauri watume majina na namba za wananchi ambao wameshajaza form na hawajapata namba zao ili mitandao ya simu (MNO) wasiwafungie kwa sababu hawana hatia.
Nawatakia weekend njema.
Sent using Jamii Forums mobile app

Na wewe pia ni mojawapoWa Dar na nje ya Dar wanatofauti gani?
Watanzania tuna uzembe fulani wa kipuuzi sana.
Hata pale mwananchi anaponyanyaswa na serikali yake bila hatia kazi yako ww nikujikomba kwa jiwe ili upate mlo!
Nani kalalamika hapa kwamba ana namba ya NIDA na ameshindwa kusajiri?
Hata hivyo, wakati wewe unasifu na kuabudu watawala walio kosa hekima, ukidhani mnawakomoa wapinzani,
ndg zako huko kijijini wanasota na NIDA na hawajafanikiwa kupata hata namba na ni miongoni mwa watakaofungiwa line zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kuupeleka ndugu. Ndiyo uchawi wenyewe waliurithi kutoka kwa mchawi mkuu kale kazee. Na wao wanauendeleza. Nia yao ni ovu sana..kufanya wadanganyika waendelee kuwa makondoo.Kwani huu mwenge umeshindikana kupelekwa jumba la makumbusho? basi inawezekana umebeba tambiko la kufa mtu...ngoja tuone
soma sheria ya mawasiliano inatambua vitambulisho zaidi ya vinne na sio national i tu kwenye kusjilia,watu wanasubiri wafungiwe simu zao wakafungue kesi.W AWE WANABADILI SHERIA KWANZA KISHA NDO WATOE MAAGIZOMulikua wapi sikuzote hizo, vitambulisho vilianza kutolewa muda mrefu tu mkazembea now ndio mnaangaika
Wajinga watailaumu selikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Kwanza niwape pole wale wote ambao wanashinda ofisi za NIDA bila kufanikiwa.
Ukweli process ya vitambulisho ni ndefu sana.
Kwa wale ambao hawana vitambulisho vya NIDA unaweza tafuta ndugu yako ukasajili kwa kutumia kitambulisho chake, kitambulisho kimoja kinaruhusiwa kusajili laini 10.
Kwa wale ambao hawajasajili hakikisha fedha zote umezitoa na kama umezoea kutumia mobile banking hakikisha kadi yako ya ATM ipo valid otherwise utapata usumbusu mkubwa sana kupanga foleni bank na kupata ATM mpya inachukua more than one week.
Kwa NIDA nashauri watume majina na namba za wananchi ambao wameshajaza form na hawajapata namba zao ili mitandao ya simu (MNO) wasiwafungie kwa sababu hawana hatia.
Nawatakia weekend njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao nida ni wa tz kwahiyo na wenyewe wana shida zaidiNaona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Kazee unakaita kachawi wakati wenzio kule wanampango wa kukfanya "MWENYE HERI"Hawawezi kuupeleka ndugu. Ndiyo uchawi wenyewe waliurithi kutoka kwa mchawi mkuu kale kazee. Na wao wanauendeleza. Nia yao ni ovu sana..kufanya wadanganyika waendelee kuwa makondoo.
Kuna sehemu hujaelewa wewe, kitakachofungwa ni laini tu ambayo haijasajiliwa kwa alama za vidoleNashindwa kuelewa. Ina maana ofisi za NIDA zitafungwa? Naona ni amsha amsha watu wakasajili.
Hili zoezi nionavyo mimi linapaswa liwe endelevu ila muda uliotolewa ilikuwa watanzania wengi wajisajili.
Kuwatambua raia ina faida nyingi mno kwa nchi kiulinzi na usalama na mambo mengine ya kitakwimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wanafiki tu shenzi zao.Kazee unakaita kachawi wakati wenzio kule wanampango wa kukfanya "MWENYE HERI"
Hivi hata kama shule hujaenda picha nayo huoni?Hivi hizo foleni huko NIDA ni zanini?Kwa taarifa za tcra wamiliki wa simu Ni 21m line hai Ni 46m Ina maana kila mwenye simu alikuwa na line zaidi ya moja na 26m zimesha huishwa kwa vidole, kwa lugha nyingine Kuna mgomo baridi kila mtu kaamua kusajiri line moja na kutupa nyingine.
Hivi itakuwa "fair" kweli kutokana na utendaji wa kusua sua kama kinyonga unaofanywa na NIDA, adhabu apewe mtumiaji simu kwa kumzimia simu yake?Kwa ambao wamezaliwa Tanzania na kukulia Tanzania na hawajawahi hata kuvuka mpaka wa Tunduma, Namanga au hata Horohoro basi itakuwa vigumu kunielewa hapa.
Aliyepaswa kuhakikisha kila raia anakuwa na kitambulisho cha uraia ni serikali then mtu mmoja mmoja ahakikishe anakuwa na kitambulisho cha uraia.
Wanaokwenda kuzimiwa si wale wenye kukaidi kusajiliwa line zao kwa alama za vidole bali ni wale waliokosa au kucheleweshewa namba au kitambulisho cha NIDA.
Bado utabiri wangu uko palepale kuwa kesho kutwa tarehe 20/01/2020 zoezi litageuka kutoka kuzimwa line za simu mpaka kutumbuliwa mtu kwasababu za kisiasa.
Kama watu wameshafanya na imewezekana hill swali umeuliza la nini?Watu wameshafanya unasemaje haiwezekani