Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

We ni mpumbavu kama wengine tu hivi unajuwa kuwa kuna watanzania kibao hawana namba hata ya nida,sasa watasajilia nini? ,matako? saa nyingine muwe mnatumia akili kuwaza na si makalio,pumbav.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepewa muda wa kutosha ila ni uzembe wenu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo muda wa kutosha mbona hauwiani na vitendeakazi na manpower? Just think wilaya Ina mashine mbili tu na wafanyakazi watano na population ya wahitaji ni over 800,000! Ni muujiza tu utautegemea siyo? Nida iongezewe vitendeakazi na manpower na kinyume chake ni siasa uchwara na kuchosha watu!
 
Dikteta yeyote huanza na kuleta matamko yenye shuruti kwa wananchi ikilenga kupima upepo wa kuyumbisha watu huku wakikenua mimeno, baadaye sheria ngumu zitaongezeka mwisho anajitwalia kila kitu ikiwemo kuifutilia mbali ccm atabaki na bashite, happness, mnyeti, biteko & co.
 

Unadhani wasipokata kutakuwa na umuhimu wa watu kujisajili? Au NIDA kufanya kazi kwa bidii?

Wasipokata ni hasara kwa wananchi na Serikali. Two ways street - Rue Double Sens .

Mtachelewa kupata vitambulisho
 
LIKE,
Hili zoez lina siri ndani yake let say wangesema hivi hauwezi kupata line mpya mpaka uwe na no. ya nida, na hauwez kupata huduma maala flan mpaka no ya nida iwepo au hauwezi kufanya kitu flan kwenye simu yako mpaka ujisari na nida unadhani wangeshindwa kusajiri watu wote?
 

Watanzania hata mkipewa miaka 10. hamtasajili. Mko hivyo. Kulalamika. Mnaibiwa. Lakini Leo Ona mnakotokea. So stupid. Ningekuwa mchina. Ningesema. Kweli mnaonewa. Ila tunajuana. Wabongo.
 
Kwa usalama wa nchi na changamoto za mtandao acha wafunge naunga hoja maaana watanzania wengi wanapenda mizaha sana ....sasa yamewakuta wanaanza lawana

Tujifunze kutii....sio ulalalmika ovyo ...
Nida gumezunguka kila kijiji /mtaa kitongoji ...lkn watu wanaoita tu wanaendelea na shughuli zao

Sasa ...meli imezama wanaaanza lawama za kijinga kwanza Tanzania tumechelewa sana ....kufanya mabadiliko haya

sent from toyota Allex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…