Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Wallah line hazifungwiNadhani cha huyu wa sasa kama sikosei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah line hazifungwiNadhani cha huyu wa sasa kama sikosei.
Na kwako pia Mtani. Mtani ndio nini sasa kunikumbusha maudhi mana najisahaulisha hapa. 😀Heri ya mwaka mpya mtani..
Hivi juice ya miwa bado unayo? Kuna mikate ya azam hapa nataka kushushia nayo.
Nini kinakupa matumaini haya Mkuu?Wallah line hazifungwi
Nimeshajiandaa, now mtanipata kwa sanduku la barua😀😀Na kwako pia Mtani. Mtani ndio nini sasa kunikumbusha maudhi mana najisahaulisha hapa. 😀
Vp na weye ushafanya usajili au ndio maneno ya mleta uzi yanakufanya utembee kifia mbere kama hakuna kinachofuata baada ya februari 20?
Shadeeya hili mimi nakataa kwa kupiga kifua kabisa, natumia simu ina IMEI namba za kichina sijui kijapan zipo tatu ni kitochi tu na sijawahi kukaa nikatuma namba zangu TCRA na sitokaa niwatumie.Hata kipindi kile cha kufunga simu feki wengi walidharau mwishowe wakaja kujikuta wanamiliki makopo.
Hivyo we jipe moyo tu mwisho wa siku inakula kwako.
Hahahaaa. Hatari Mtani.Nimeshajiandaa, now mtanipata kwa sanduku la barua😀😀
Hivyo simu feki hazikufungwa au wataka kusema vipi Mtani?Shadeeya hili mimi nakataa kwa kupiga kifua kabisa, natumia simu ina IMEI namba za kichina sijui kijapan zipo tatu ni kitochi tu na sijawahi kukaa nikatuma namba zangu TCRA na sitokaa niwatumie.
.
IMEI number zinatakiwa kuwa 111111111111 zisiwe 111111#&%45 huu ni mfano
Shadeeya hili mimi nakataa kwa kupiga kifua kabisa, natumia simu ina IMEI namba za kichina sijui kijapan zipo tatu ni kitochi tu na sijawahi kukaa nikatuma namba zangu TCRA na sitokaa niwatumie.
.
IMEI number zinatakiwa kuwa 111111111111 zisiwe 111111#&%45 huu ni mfano
Hawakufunga wataalamu wa haya mambo wanaelewaHivyo simu feki hazikufungwa au wataka kusema vipi Mtani?
Oooh.Hawakufunga wataalamu wa haya mambo wanaelewa
Ni habari tu za kukiridhisha wewe na yule mtani.![]()
Udhibiti wa simu feki Tanzania – DW – 21.06.2016
Tarehe 16. Juni 2016 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ilikata mawasiliano ya simu feki na mitandao ya simu ya Tanzania. Nani wa kulaumiwa kuhusu simu bandia kuingia nchini na Watanzania wanasemaje kuhusu zoezi zima? Yote hayo na Elizabeth Shoo katika Sema Uvume.m.dw.com
Hebu soma hiyo Mtani.
Kitu chochote kinachotumia internet kinafanya kwa wi fi bila hata kuchomeka line yoyote kwny simHv line ikizimwa WhatsApp si itaendelea kufanya kazi through WiFi?