Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Mwisho wa tarehe 20Hivi tarehe 20-01-2020 inaanza kesho asubuhi au saa 6 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa tarehe 20Hivi tarehe 20-01-2020 inaanza kesho asubuhi au saa 6 usiku
Hamna kinachofungwa
Hivi zile simu fake zilifungwa mwaka gani?Hata kipindi kile cha kufunga simu feki wengi walidharau mwishowe wakaja kujikuta wanamiliki makopo.
Hivyo jipe moyo mwisho wa siku inakula kwako.
Hata sikumbuki aisee.Hivi zile simu fake zilifungwa mwaka gani?
Tamtibuaje?
Ilikuwa enzi za JK au Magu?Hata sikumbuki aisee.
Hv line ikizimwa WhatsApp si itaendelea kufanya kazi through WiFi?
Heri ya mwaka mpya mtani..Hata kipindi kile cha kufunga simu feki wengi walidharau mwishowe wakaja kujikuta wanamiliki makopo.
Hivyo we jipe moyo tu mwisho wa siku inakula kwako.
Nadhani cha huyu wa sasa kama sikosei.Ilikuwa enzi za JK au Magu?