Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Hivi serikali haiwezi kuona kwamba barabara na miundo mbinu imeharibiwa na mvua,njia nyingi hazipitiki wala madaraja hayavukiki kisha mnakuja na habari za usajiri wa NIDA ni kwa lazima mnatutishia kufunga Line za simu kwa lazima zoezi limafanywa wakati wa hatari nchi miundo mbinu haupo salama, Watanzania swala hili halikubariki hata kidogo.

Watanzania serikali itujibu kwanini wanataka watukoseshe mawasiliano kwa kigezo cha NIDA ambaye hajawajibishwa kwa mpango wake ulioghalimu mabilioni ya fedha ila ndani yake kuna ufisadi wa mkubwa wa fedha za watanzania ambazo ni kodi zetu sisi watanzania zinachezewa bila kuwa na sera ya msingi.

Watanzania serikali itujibu kwanini wanaona swala la kujiandikisha NIDA ndio mhimu zaidi ya kutuimalishia mfumo wa miundo mbinu ya barabara na madaraja inayoharibika kila msimu wa mvua na inatazwama na serikali unajua ila hakuna hatua imezichukua hadi sasa hivi inamaana NIDA ndio ni zaidi ya usalama wa miundo mbinu ya Taifa ambavyo ni dhamana ya serikali kuitekeleza.

Watanzania kwanini NIDA walishindwa vipi kuunganisha taalifa za kitambulisho cha mpiga kura na huko cha Taifa kuwa taalifa moja ina maana tungeena NIDA kujaza alama za vidole na sio kwenda kupewa kanuni za kwenda na vyeti vya kuzaliwa, haya mnakuja nayo ni mjadala mrefu kama NIDA wangekuwa na study wangekuja na mfumo wa kuunganisha vitambulisho hivi viwili kuwa na data base ya pamoja maana waliowengi vitambulisho vya kuzaliwa ni wachache sana ila kama ingetumika kadi ya mpiga ya kura ingekuwa ni mtu unafika unatumia dakika kadha anakuwa amekamilisha zoezi.

Watanzania kitambulisho cha Taifa ni mhimu sana kuwa na taalifa za kupigia kula ila NIDA yetu inachofanya imekuwa kama tunakwenda NIDA kujiandikisha kupata kitambulisho cha kupingia kula wakati swala hili lilitakiwa NIDA ishirikiane na Tume ya kupigia kura katika kufanya taalifa ambazo utazipa kwenye kitambulisho cha kupigia kura ndio zile zile zina link na kitambulishoTaifa simple and clear

Watanzania hivi NIDA wanatuona sisi mazuzu hivi utaifa wetu ukifika 2024 unaisha tunakuwa na utaifa wa nchi nyingine yani kweli zoezi hili linatumia mafedha mengi tena kodi za Mtanzania kisha unampa mtu kadi ya utaifa kwa miaka 5 ikiisha anakuwa sio Mtanzania jamani huu Ni upuuzi gani ? Hivi watanzania zoezi hili limetumia fedha nyingi kwanza limeleta usumbufu mkubwa kisha unawaambia watu baada ya miaka 5 watakuwa sio hawana uraia wa Tanzania hivyo kadi hizi mnatupa kutuchora kwa miaka 5 kama vikuku vya kizungu nchi yangu ni Tanzania afu unanipa kadi ya kuishi Tanzania kwa miaka 5 nikijulikana kama Mtanzania ikiisha nakuwa tena mkimbizi ndicho NIDA na serikali yake wanavyo tufanyia kwenye hicho kutambulisho kina mwisho wa matumizi kitu ambacho naona serikali na NIDA ni jambo sahihi kutupa uraia wa taifa kwa miaka 5 inaumiza jamani how comes.

Siwezi kuendelea kuandika maana tunafanywa kama vituku kwenye nchi yetu ikiwa nguvu ya mabadiliko na kuionya serikali na ikabadilika ipo ila tunashindwa kuwa na utu wa umoja kwenye maswala kama haya ambayo yanapindisha sera na kuharibu usawa wa taifa letu.
 
Ujinga mzigo!! huyo unaemtolewa povu amechangiaje kukwamisha watu wasisajili line
Shetani mliyemfuga Mbowe muuaji wa Chacha Wangwe, Muendesha kikundi cha kunyofoa watu kucha kama ulimboka, mlimuua hata mawazo maana alitaka kuhamia CCM. wachumia tumbo msiokuwa na kazi maalumu mnalipwa kuchafua nchi nyie nyumbu wa ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Eti kigogo 2014 ndiye kasababisha yote haya? . Acheni masihara nyie watu.
 
(Naambiwa leo ndo usajili wa simu umegoma kisa network ya TCRA imezidiwa)!

Acheni mambo yenu ya kujificha chini ya matukio... Tukubaliane tu kuwa system za nchi yetu ni za ovyo...
Hakuna good communication na coordination kati ya taasisi na mashirika ya serikali (PPP ndo imekufa na kuzikwa kabisa).
Haya tuliyasema siku nyingi sana nyuma...
Watendaji wanafanya kazi kwa mazoea ya ovyo Sana..
Kuanzia Ikulu hadi vijijini...
Unawalaumu NIDA kwa lipi? Na je wakiwajibishwa matatizo yetu ya msingi yatakuwa yameisha..
Hao NIDA walipopewa majukumu ya vitambulisho walielekezwa kuwa jukumu mojawapo linalotakiwa kufanyika kwa haraka ni kuwezesha watu kusajili line zao za simu? Je walipewa makisio ya wamiliki wa line za simu ili wajipange kikamilifu??
Na unapowalaumu kwa kushindwa kutoa namba za NIDA.. jamani kwani lengo kuu ni nini? Namba au vitambulisho...?? Ndiyo unapewa namba ili ukamilishe kujisajili kwenye simu, je kitambulisho utakipata lini?
Tuambizane tu ukweli... Tumeingiza siasa za kijinga sana kwenye hili suala la usajili wa line za simu...

Alafu yule jamaa sijuhi alinogewa Christmas... Yaani ghafla tu unatangaza "naongeza siku 20 na zikiisha nitazima hizo line zenu" Hivi alitangaza kama nani..? Ndiyo wengine watasema kama mkuu wa nchi.. Sawa... Sasa huyo mkuu wa nchi aliwasiliana na wenye majukumu yao "NIDA na TCRA" kabla ya kutoa tangazo lake??
Yaani ujinga na mapungufu hayo yote kwa sasa wanabebeshwa wananchi... Ambao nao wanashindwa kujitetea wanabaki kuilaumu NIDA...
Mimi katika hili natofautiana na wengi... NAILAUMU MOJA KWA MOJA SERIKALI YA AWAMU YA 5

Mipango yao ya uchaguzi mkuu 2020 kwa kuwazimia watu line za simu umewaletea Watanzania wengi usumbufu na hasara kubwa!!
Ila sema wengi wana akili za kuvukia barabara tu... Nchi nyingine hii ishu ingeshafika mahakamani kuweka zuio!
 
Maoni 'na ombi langu kwa Rais ni kwamba leo mitandao îsifungwe, maana kuna watu, walijiandikisha zaidi ya mwezi kama sio miwili lakini bado hawajapata namba za NIDA. Tamko la leo liwaendee NIDA kwamba wapewe mwezi mmoja ili wampe namba kila aliyejiandikisha, 'na wale watakao pata namba nao wapewe muda wa kusajili laini za simu, baada ya hapo zoezi la kufunga lifuate.
 
Kwanza maisha ni magumu, halafu wewe unaongeza ugumu kwa kufunga laini za simu.

Wapiga kura wako, wengi wapo vijijini na hawajawahi kupata namba za NIDA. Octoba wanaenda kukuchinjia baharini (au una plan B ya kushinda?)

Unaenda kuvunja mahusiano ya watu, kuzuia miamala yote ya fedha na kujenga chuki kati yako na wananchi.

Ulitakiwa kuwawajibisha viongozi wa NIDA wala si wananchi. Nyota yako inazidi kufifia. Kwanini kila unachogusa kinafeli?

Je, mbona mnakomalia namba, tutaishia kupata namba tu bila vitambulisho?

Tarehe 20 ni usiku huu, lets wait and see if mzee wa font fed atafanya yake.
Mkuu laini hazitafungwa Ila kuna jamaa anatafuta political mileage kupitia issue ya kusajiri laini za simu
 
Hakuna laini itakayofugwa hata moja... Trust me....!!!! Kufunga laini ni sawa na uhujumu uchumi
Kwanza maisha ni magumu, halafu wewe unaongeza ugumu kwa kufunga laini za simu.

Wapiga kura wako, wengi wapo vijijini na hawajawahi kupata namba za NIDA. Octoba wanaenda kukuchinjia baharini (au una plan B ya kushinda?)

Unaenda kuvunja mahusiano ya watu, kuzuia miamala yote ya fedha na kujenga chuki kati yako na wananchi.

Ulitakiwa kuwawajibisha viongozi wa NIDA wala si wananchi. Nyota yako inazidi kufifia. Kwanini kila unachogusa kinafeli?

Je, mbona mnakomalia namba, tutaishia kupata namba tu bila vitambulisho?

Tarehe 20 ni usiku huu, lets wait and see if mzee wa font fed atafanya yake.

Jr[emoji769]
 
Pole sana lakini jiandae tu na maumivu najua ulizoea kutapeli watu na zile sms zako sasa mwisho wako ni leo mkuu kama hujampata mtu yoyote mpaka saa 6 usiku leo basi kwisha habari yako!
 
Utawala huu wa Magufuli ni rahisi sana kutabiri kitu na kikatokea.
Nilitabiri Babu Seya atatoka ile December 9 2017 ikawa, nilitabiri 2019/2020 watumishi wa umma hawataongezewa hata senti ikawa. Leo narudia tena kutabiri utabiri huu mgumu kuwa line za simu zisizosajiliwa kwa namba ya NIDA kesho tarehe 20 kuelekea tar 21 hazitafungwa.
Kama unabisha tuwekeane dau
 
20000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungie tu line za simu ili TRA mapato yashuke kwa mwendo wa SGR. Kuna baadhi ya mambo yapo wazi wazi yana madhara makubwa sana kwa nchi yetu, mzunguko wa hela ndani ya nchi unategemea zaidi ya 50% kwa njia ya simu za mkononi, kufungia line za simu zaidi ya Millioni 22 ina maana;
1) Makampuni ya simu yanakosa mapato ya VOCHA na BIASHARA YA KUHAMISHA FEDHA.
2) TRA wanakosa mapato ya kodi.
3) Mzunguko wa pesa unapungua kwa hali ya juu.
4) Mzunguko wa biashara zinazotegemea mawasiliano ya simu nyingi zitakufa au kuanguka.
5) Mzunguko wa hela ukipungua Tsh itashuka thamani kisawasawa mpaka akili ziwakae sawa.

kufungia line za simu ni kufungia miamala ya pesa nchini, miamala ya hela kwa njia ya simu ni zaidi ya mzunguko wa 50% ya mizunguko yote ya hela nchini, kuliko hata miamala ya bank, na ndio maana bank zote zimeingia kwenye "MOBILE BANKING" kwasababu wanajua mzunguko wa hela umeshikiliwa na mobile banking sasa hivi.

Inasikitisha swala hili la kufungia watu line zao wamefanya kama "KUKOMOA" watu ambao hawaja sajili line.

Viongozi wetu wanatakiwa warudi darasani na wasome "PRINCIPLES ZA E-COMMERCE" (Biashara za kimtandao).

Swala la kusajili line za simu kwa njia wanayotaka ni ngumu, wanatakiwa wamalize kwanza swala la vitambulisho ns kujiridhisha raia wote wanavyo.

Kufungia RAIA simu zao sio solution. Kujiridhisha kwanza kama raia wote wamepata VITAMBULISHO ndio njia sahihi kwanza.

#Viongozi wetu wajitafakari kisawasawa fikra zao kwenye kufanya maamuzi ya kitaifa, wasifanye maamuzi kuangalia matakwa yao tu. Kwenye maswala ya kitaifa tuweke vyama pembeni.
 
Back
Top Bottom