Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Mnamjua magufuli vizuri au mmemsahau ,huyu sio mungu/yesu ....mungu hajawahi mtegemea binadamu,binadamu humtegemea mungu..hivyo subili magufuli akitengua kauliyake kwasababu anajua kwamba waliofeli sio wananchi ni NIDA ..mwaka wa uchaguzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho dunia nzima itashuhudia tukio la kihistoria ,quantum drop mobile phone subscribers Tanzania.East Africa. Waandishi wa habari wametua kushuhudia the giant leap backwards.
 
Nimegundua humu wengi awataki kukamilisha usajili wa line zao sio kama hawana namba wanazo.ila wanadaiwa sana na mikopo waliokopa maana unakuta simu imejaa apps zaidi ya 10 za mikopo bado Mpawa airtel tigo na kwingineko.wanataka zifungwe kesho wasajili zingine
 
Kuna watanzania wengine hata kutofautisha kati ya sms ya nida na miamala ya pesa hawafahamu

Unakuta mtu alijiandikisha kitambo tu na nida wamemtumia namba yake ya utambulisho lakini hafahamu kama ni sms ya nida au tigopesa [emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani hawa wakijaribu kufunga line watafungia mpaka wasio na sababu ya kufungiwa ni muhimu hekima itumike sio pupa na maguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tulishakuambia kwamba shetani hana rafiki lakini ukajifanya kichwa maji , sasa endelea kuiamini ccm , Mamluki mkubwa weeee !!!
 
Binafsi namiliki simcards 4 nimekamilisha usajili card 3,nimeacha moja ya TTCL ili nione gawio likipungua
 
Mimi nilofikiri utasema mnataka kufanya kama mlivyofanya uchaguzi serikali za mitaa mlishinda kwa 99,9% na Leo mtasema mmesajili line kwa 99,9% kuitatisha nido
 
Bongo naijua mwenyewe

~kusajili laini ni bure japo hatujisajili,na ingekuwa kusajili kuna gharama basi bado tungelalamika hali ni ngumu na lawama tele kwa bashite

~Watz tumezoea kwenda kwa shurti...how come kusajili laini kungekuwa sio lazima bali ni amri,wote hao wangeshasajili

~waliojazana kwenye foleni ndio hao hao waliokuwa wanadhania hawana muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho ndio siku ya mwisho ya kusajili simu kwa njia ya alama za vidole kwa mujibu wa agizo lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Magufuli.

Nini kitafuatia?

Stay tuned!

Hamna wa kutumbuliwa hapo maana mtumbuaji ndio mtoa hela, na anajua fika hajatoa hela ya kufanya hilo zoezi ipasavyo. Labda atumbue kusaka kiki lakini sio kwa uzembe wa NIDA.
 
Back
Top Bottom