Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

kagombe, zingatia vitu hivi alafu uje tena kuwatetea, kijijini kwetu tuliona tangazo tu ila kituo labda utuletee wewe, kulikuwa na ugumu gani wa kutumia shule za msingi kama vituo vya nida ? ukuje unipe jibu,
#WACHA WAFUNGE
 
Wasalaam.
Ili kuondoa msongamano katika baadhi ya vituo vya nida. Ikaanzishwa huduma ya kucheki au kufuatilia namba za nida kwa njia ya mtandao.
Sasa kwa ambao bado hazijatoka Watapat vipi feedback kama tutafungiwa Line zetu.
Au ndio wananchi watatoka tena maili 100 kuja mjini kucheki namba kama imetoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WhatsApp kinachotumika ni internet namba yako utambulisho tu ndio maana unaona mtu yupo Ulaya ila anatumia utambulisho wa namba yake ya voda au tigo utashindwa kuiupdate kwa sababu namba za kuverify wanakutumia kwenye namba ya utambulisho
Lakini mwisho wa siku utahitaji kununua Mb,hapo ndo changamoto itaanzia.
 
Mimi nashangaa watu kila kitu rais magufuli,lakini pia tambua kuwa usajili huu ni muhimu sana,wewe nenda kasajili laini yako ,rais aliongeza 20 days,kulia lia huku mitandaoni won't help any more,hutaki achakusajili,but serikali haita sitisha wala kuongeza muda,full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho ndio siku ya mwisho ya kusajili simu kwa njia ya alama za vidole kwa mujibu wa agizo lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Magufuli.

Nini kitafuatia?

Stay tuned!
 
Achana nae huyo mkuu! Ni limbukeni tu,anahisi kupata kitambulisho cha NIDA ndo kuyapatia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nyie wa mjini ndio mnatupigia makelele tu maofisi yapo kila mahali unakuta jitu liko huko bongo linalalamikia humu nida.

kuna jamaa nilimwambia wewe una lalamika ushaangalia namba zako akanijibu anaangalia sana tu ila wanamjibu bado nikamwambia naomba nikuchekie majibu yakawa yaleyale nikamuuliza fomu ulijaza ulijaziwa akaniambia nilijaziwa nikamuuliza baada ya kujaziwa ulisoma hiyo fomu na kujua jina lako kama ni sahihi akaniambia ah mie baada ya kujaza nikaipeleka NIDA.

Nikamwambia inawezekana hapa ktk undishi kulikua na tatizo baina yako na muandishi.Inakuaga hivi mf.hamisi [hamis]yusuph[yusufu or yusuf]omari[omar]sasa kwa kasoro hizi nikamwambia uwezi fanikiwa we nenda ofisi za nida kweli alivyokwenda akakuta kitambulisho chake.11:59pm
 
Makuwadi wa sheria za kipumbavu utawajua tu...

Hivi mtu unasajili laini kwa fingerprints kitambulisho cha uraia cha kaz gani?

Funga laini funga kila kitu.. its about time.. mateso wanayopata wananchi kwa kitu ambacho si cha lazima sana ipo siku wataelewa maana yake na ku revenge.
Revenge kwa nani?
Simu umezima mwenyewe halafu revenge?

Mwizi wa mitandaoni wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu haya, jana jioni NIDA wamenitumia namba yangu ya kitambulisho.... sikumbuki kama niliwahi kujiandikisha.

Na kwa msisitizo leo wameituma tena, mimi nasema wasinivuruge.... nishajiandaa kufungiwa.
 
Wasalaam.
Ili kuondoa msongamano katika baadhi ya vituo vya nida. Ikaanzishwa huduma ya kucheki au kufuatilia namba za nida kwa njia ya mtandao.
Sasa kwa ambao bado hazijatoka Watapat vipi feedback kama tutafungiwa Line zetu.
Au ndio wananchi watatoka tena maili 100 kuja mjini kucheki namba kama imetoka

Sent using Jamii Forums mobile app
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zoezi mkuu limekuwa batili tangu awali.Kila line ingekuwa moja kwa mtu kwa kila mtandao.Kwa mahitaji ofisi muombaji angeambatanisha maombi na nyaraka usajili biashara husika,TIN ya TRA ama BRELLA.Matumizi nyumbani ingepunguza ajira watoto above 18 Angepaswa kusajili mwenyewe.
Mwanya wa kusajili mtu mmoja zaidi ya line moja, wenye nia mbaya wanapata wepesi kuzipata kupitia vijana wasajili wanaolipwa ujira duni mitaani.Ipo hatari watu kupata kesi zisizo wahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili zoezi linatakiwa kuendelea bila kuwa na deadline NIDA wawafate watu vijijini sio wao kufuatwa wilayani.
 
Mimi nashangaa watu kila kitu rais magufuli,lakini pia tambua kuwa usajili huu ni muhimu sana,wewe nenda kasajili laini yako ,rais aliongeza 20 days,kulia lia huku mitandaoni won't help any more,hutaki achakusajili,but serikali haita sitisha wala kuongeza muda,full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe ,jaribu kutumia akili kidogo na sio maarifa ya taaluma yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kagombe,
Muda mwingine tumia kichwa kilichoko juu ya mabega kufikiri na sio kilichoko chini ya kitovu, watu wamejiandikisha mwaka 2013 hadileo hawajapata, waziri kaenda ruvuma kamkuta afisa wa nida anavitambulidho elfu 14 kavikalia hajavigawa, halafu unaleta janaba hapa

Yale majamaa yanalipwa kupost ujinga, hongera umesha ingiza siku.
 
Back
Top Bottom