Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mwisho wa siku utahitaji kununua Mb,hapo ndo changamoto itaanzia.WhatsApp kinachotumika ni internet namba yako utambulisho tu ndio maana unaona mtu yupo Ulaya ila anatumia utambulisho wa namba yake ya voda au tigo utashindwa kuiupdate kwa sababu namba za kuverify wanakutumia kwenye namba ya utambulisho
Kabla ya kulala usiku jitaidi kuwa unasaliSisi tupo huku vijijini na tumesajili line zetu kwa namba za NIDA. Poleni sana wazee wa ' HIYO PESA TUMA KWENYE NAMBA HII' Tafuteni kazi zingine za kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nyie wa mjini ndio mnatupigia makelele tu maofisi yapo kila mahali unakuta jitu liko huko bongo linalalamikia humu nida.Achana nae huyo mkuu! Ni limbukeni tu,anahisi kupata kitambulisho cha NIDA ndo kuyapatia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Revenge kwa nani?Makuwadi wa sheria za kipumbavu utawajua tu...
Hivi mtu unasajili laini kwa fingerprints kitambulisho cha uraia cha kaz gani?
Funga laini funga kila kitu.. its about time.. mateso wanayopata wananchi kwa kitu ambacho si cha lazima sana ipo siku wataelewa maana yake na ku revenge.
Kwani ujapa na wewe mkuu au ndio umetimia miaka 18 11:59pmKwahiyo unataka kutuambia nini kwa maneno yako hayo?
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU!!!Wasalaam.
Ili kuondoa msongamano katika baadhi ya vituo vya nida. Ikaanzishwa huduma ya kucheki au kufuatilia namba za nida kwa njia ya mtandao.
Sasa kwa ambao bado hazijatoka Watapat vipi feedback kama tutafungiwa Line zetu.
Au ndio wananchi watatoka tena maili 100 kuja mjini kucheki namba kama imetoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe ,jaribu kutumia akili kidogo na sio maarifa ya taaluma yako,Mimi nashangaa watu kila kitu rais magufuli,lakini pia tambua kuwa usajili huu ni muhimu sana,wewe nenda kasajili laini yako ,rais aliongeza 20 days,kulia lia huku mitandaoni won't help any more,hutaki achakusajili,but serikali haita sitisha wala kuongeza muda,full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kweli hizi!?Maajabu haya, jana jioni NIDA wamenitumia namba yangu ya kitambulisho.... sikumbuki kama niliwahi kujiandikisha.
Na kwa msisitizo leo wameituma tena, mimi nasema wasinivuruge.... nishajiandaa kufungiwa.
kagombe,
Muda mwingine tumia kichwa kilichoko juu ya mabega kufikiri na sio kilichoko chini ya kitovu, watu wamejiandikisha mwaka 2013 hadileo hawajapata, waziri kaenda ruvuma kamkuta afisa wa nida anavitambulidho elfu 14 kavikalia hajavigawa, halafu unaleta janaba hapa