Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hivi serikali haiwezi kuona kwamba barabara na miundo mbinu imeharibiwa na mvua,njia nyingi hazipitiki wala madaraja hayavukiki kisha mnakuja na habari za usajiri wa NIDA ni kwa lazima mnatutishia kufunga Line za simu kwa lazima zoezi limafanywa wakati wa hatari nchi miundo mbinu haupo salama, Watanzania swala hili halikubariki hata kidogo.
Watanzania serikali itujibu kwanini wanataka watukoseshe mawasiliano kwa kigezo cha NIDA ambaye hajawajibishwa kwa mpango wake ulioghalimu mabilioni ya fedha ila ndani yake kuna ufisadi wa mkubwa wa fedha za watanzania ambazo ni kodi zetu sisi watanzania zinachezewa bila kuwa na sera ya msingi.
Watanzania serikali itujibu kwanini wanaona swala la kujiandikisha NIDA ndio mhimu zaidi ya kutuimalishia mfumo wa miundo mbinu ya barabara na madaraja inayoharibika kila msimu wa mvua na inatazwama na serikali unajua ila hakuna hatua imezichukua hadi sasa hivi inamaana NIDA ndio ni zaidi ya usalama wa miundo mbinu ya Taifa ambavyo ni dhamana ya serikali kuitekeleza.
Watanzania kwanini NIDA walishindwa vipi kuunganisha taalifa za kitambulisho cha mpiga kura na huko cha Taifa kuwa taalifa moja ina maana tungeena NIDA kujaza alama za vidole na sio kwenda kupewa kanuni za kwenda na vyeti vya kuzaliwa, haya mnakuja nayo ni mjadala mrefu kama NIDA wangekuwa na study wangekuja na mfumo wa kuunganisha vitambulisho hivi viwili kuwa na data base ya pamoja maana waliowengi vitambulisho vya kuzaliwa ni wachache sana ila kama ingetumika kadi ya mpiga ya kura ingekuwa ni mtu unafika unatumia dakika kadha anakuwa amekamilisha zoezi.
Watanzania kitambulisho cha Taifa ni mhimu sana kuwa na taalifa za kupigia kula ila NIDA yetu inachofanya imekuwa kama tunakwenda NIDA kujiandikisha kupata kitambulisho cha kupingia kula wakati swala hili lilitakiwa NIDA ishirikiane na Tume ya kupigia kura katika kufanya taalifa ambazo utazipa kwenye kitambulisho cha kupigia kura ndio zile zile zina link na kitambulishoTaifa simple and clear
Watanzania hivi NIDA wanatuona sisi mazuzu hivi utaifa wetu ukifika 2024 unaisha tunakuwa na utaifa wa nchi nyingine yani kweli zoezi hili linatumia mafedha mengi tena kodi za Mtanzania kisha unampa mtu kadi ya utaifa kwa miaka 5 ikiisha anakuwa sio Mtanzania jamani huu Ni upuuzi gani ? Hivi watanzania zoezi hili limetumia fedha nyingi kwanza limeleta usumbufu mkubwa kisha unawaambia watu baada ya miaka 5 watakuwa sio hawana uraia wa Tanzania hivyo kadi hizi mnatupa kutuchora kwa miaka 5 kama vikuku vya kizungu nchi yangu ni Tanzania afu unanipa kadi ya kuishi Tanzania kwa miaka 5 nikijulikana kama Mtanzania ikiisha nakuwa tena mkimbizi ndicho NIDA na serikali yake wanavyo tufanyia kwenye hicho kutambulisho kina mwisho wa matumizi kitu ambacho naona serikali na NIDA ni jambo sahihi kutupa uraia wa taifa kwa miaka 5 inaumiza jamani how comes.
Siwezi kuendelea kuandika maana tunafanywa kama vituku kwenye nchi yetu ikiwa nguvu ya mabadiliko na kuionya serikali na ikabadilika ipo ila tunashindwa kuwa na utu wa umoja kwenye maswala kama haya ambayo yanapindisha sera na kuharibu usawa wa taifa letu.