Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kwani muda ukiisha kuna tatizo lipi? Si unanunuwa SIM card mpya na kuisajili hapo hapo?
 
*Laini yangu ya Vodacom*

*BALANCE*

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

*MADENI*

1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=

_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazima kesho au keshokutwa? Mlisema mwisho tarehe 20/1/2020, sasa kwa nini mzime kesho badala ya keshokutwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ujumbe huu umenisikitisha kutoka kwa mmoja wa waumini wenzangu ambae anawakilisha mamilioni ya watanzania wengi watakaofungiwa laini zao siku ya 20/01/2020.

My Take:
Kwa kua watakaozimiwa wote ni kwa sababu wamekosa namba za Nida ndani ya muda uliopangwa, ili wawasiliane na ndugu zao watalazimika kusajili laini kwa namba za watu waliopata. Hii pia nimeishuhudia sehem nyingi za kusajilia watu wakisajili kwa vitambulisho vya watu wengine.

Wahusika hawakujipanga vizuri. Waliosajili kwa namba zao halali ni wachache sana, wengi wamenunua namba zilizokua zimeandaliwa na mawakala, wengine wamesajili kwa vitambulisho vya ndugu, marafiki au jamaa tu. Acha tuweke akiba ya maneno, muda utaongea!
 
Mbona mnafanya kama janga au msiba wakati mambo ya kawaida tu... Copy contacts, toa pesa zako zilizomo basi... Kama utasajili nyingine kopa halafu tupa.
 
wafunge tu hakuna namna,nishajiandaa kukaa bila mawasiliano wao si wameamua hivo sa mi ntafanyaje unazani,wazime tuu wasitutishe alaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…