Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi.

Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA.

Acha wafungie nimejiandaa kisaikolojia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bad hujasajili?
 
Barua ya wazi kwa Mh. Rais

Mheshimiwa,

Naandika kukuomba wewe Rais wetu utuongezee muda sisi wanyonge tusajili simu zetu kwa alama za vidole.

Mengi ya kuandika yapo, lakini yote ninayotaka kuyaandika ninaamini unayajua.

Tunakuombea afya njema na umri mrefu.

Wasalaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nimnukuu Dr Bashiru,"Naamini mamlaka zinazohusika zitatumia hekima kwenye jambo hili".Mh hapa hujatoa maamuzi yoyote.

Tumezoea majibu yasio na suluhu yanayotolewa na wanasiasa kuyaita majibu yakisiasa na hii ni kutokana na kwa muda mrefu wanasiasa wengi nchi hii walikuwa na tabia za kutosimama kwenye kauli zao.Sitaki kumuweka katibu mkuu kwenye kundi hili kwani naamini muda wa kuwatetea watanzania bado upo.

Mh Dr Bashiru leo akiwa Kigoma wana CCM wamemlalamikia juu ya uonevu unaoenda kutekelezwa na TCRA wakufungia line za simu ambazo hazikusajiliwa kwa alama za vidole huku wakijua kabisa kwamba tatizo ni uzembe wa NIDA kutokutowa vitambulisho vya taifa ambavyo ndio kiungo muhimu kwenye kufanikisha zoezi la usajili.

Mh Katibu mkuu majibu yake alioyatowa leo Kigoma hayaendani na nyazifa yake.Mh katibu mkuu atambue yeye ndiye muwakilishi wa watanzania wote kupitia CCM kwenye kutatuwa changamoto za wananchi.

Haiwezekani 44% ya line za simu zikafungiwa kesho wakati CCM na viongozi wake tuliowaweka madarakani wenyewe ipo ikikaa kimya.

Mh katibu mkuu tunakuomba wesemee hawa mamilioni ya wananchi wanapata huu uonevu kwa makosa ya NIDA.

Tunawataka watawala wajue kwamba mawasiliano ni muhimu kuliko ndege kwani simu zinawagusa mpaka wananchi wa vijijini ambao wengi wao mpaka wanakufa hawatapanda hizo ndege.

Kunawakati tunaona viongozi wetu mnayafumbia macho haya kwakuwa ninyi vitambulisho vyenu mnapigwa picha muda huohuo na muda huohuo kwakuwa wakuu wa hizi taasisi wanaogopa msiwatumbue vitambulisho wanapatia muda huohuo sisi tuliowaweka hapo mlipo tunahangaika miaka mitatu pasipo mafanikio yoyote.
 
Wrong way! mkuu alishasema mtalimia meno!

Sent using Redmi Y2
 
Jaribu kutimia akilikidogo, serikali ndio inataasisi inayoweza kugundua cm feki na orijino, mwananchi wa kawaida yeye atatumia kipimogani.

Watu wametiwa hasarakwauonevutu serikali ingetakiwa kuzuiya bidhaa feki zisiingie nchini ilikunusuru raiya wake.
Hata kipindi kile cha kufunga simu feki wengi walidharau mwishowe wakaja kujikuta wanamiliki makopo.

Hivyo we jipe moyo tu mwisho wa siku inakula kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom