Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Nimeshasajiliwa na mchumba nitaendelea kudunda hewani kama kawa ingawa kwa namba mpya,,

sasa nione kiburushuti kinamgusa eti anashtakiwa kwa kunisajilia line,,

kama sijatoa mbupu la mtu,,
 
Wengine tunaonewa kwa kunyimwa namba na tushajisajili tangu mwaka 2018, NIDa walaaniwe AMIINa.
 
Sawa Wakati wao NIDA Walipo tutangazia zoezi la kwenda kusajiliwa Vitambulisho kwenye Mkoa wetu, Wao hawakujua hivyo Vitambulisho havitolewi kama Karanga?!
NIDA sio kuchukua namba au kujisajiri lazima watambue kama una uhalali wa kupewa namba wengine si raia
 
Kuna watanzania wengine hata kutofautisha kati ya sms ya nida na miamala ya pesa hawafahamu

Unakuta mtu alijiandikisha kitambo tu na nida wamemtumia namba yake ya utambulisho lakini hafahamu kama ni sms ya nida au tigopesa [emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani hawa wakijaribu kufunga line watafungia mpaka wasio na sababu ya kufungiwa ni muhimu hekima itumike sio pupa na maguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu.. Wengine jumbe za nida zaweza kuja mtu ukaipiga juu kwajuu ukijua ni sms za usumbufu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom