Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Narudia kusema tena,Kigogo2014 sio mtu ni Ghost kamwe hawatoweza Kumpata.Kuna watu wanatafutwa wafungiwe line zao. Hivi bado Kigogo2014 hajapatikana tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia kusema tena,Kigogo2014 sio mtu ni Ghost kamwe hawatoweza Kumpata.Kuna watu wanatafutwa wafungiwe line zao. Hivi bado Kigogo2014 hajapatikana tu?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaa banaMaajabu haya, jana jioni NIDA wamenitumia namba yangu ya kitambulisho.... sikumbuki kama niliwahi kujiandikisha.
Na kwa msisitizo leo wameituma tena, mimi nasema wasinivuruge.... nishajiandaa kufungiwa.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ikifika saa 5:50 usiku wa tarehe 19, zima simu yako na utoe line kwenye simu hadi kesho yake.... utaendelea kudunda hewani kama kawa.
Thank me later.
Unajichanganya mwenyewe ndugu. Umekiri mwenyewe kuwa NIDA ni chanzo cha watu kuchelewa kusajili line zao. Unamuadhibuje mwananchi kwa kosa la NIDA?Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000
Hivi unaweza kusajili kwa kutumia passport , hizi mpya?Unajichanganya mwenyewe ndugu. Umekiri mwenyewe kuwa NIDA ni chanzo cha watu kuchelewa kusajili line zao. Unamuadhibuje mwananchi kwa kosa la NIDA?
Ni kweli mkuu kuna watu vichwa vyao ni makasha ya kuifadhia upumbavu wao,tulio wengi hasa mkoa wa manyara,hususani wilaya zake watu wengi walisha kamilisha taratibu zote mpaka kupiga picha,tangu mwezi wa nane mwaka Jana havijatoka kitambulisho wala namba mpaka Leo yaani hii serikali dah!?Haya ni majibu ya akili za nzi kucheza na uchafu. Angekuwa na akili angetengeneza asali. Nchi inahitaji muda zaidi kujisajili. Line zikizimwa kesho wanyonge wengi wataumia. Mm nimeshasajili ila najua kwa muda uliowekwa ni ngumu nchi zima kuwa imesajili.
Unajua kazi ya chama wewe?Kama hujui uliza upewe maarifa,Hiyo sio kazi ya katibu mkuu wa CCM ! elewa ndugu !
Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
kwanini mkuu wajita wanatatizo gani nina mchumba mjita naomba nidokezeHakuna kabila pumbavu Kama wajita na ukioa mjita ni sawa na kuoa mbwa koko
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta uteuzi!Kwann umemtaja rais??!
wewe magufuli nini ?unatafuta namna ya kuongeza mapato, yaani lain milioni 20 mara 1000 kwa siku si mchezoNi hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.