Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.

Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
 
Mtu anaacha kutumia laini yake kisa kudaiwa mia 5 alokopa sembuse hiyo kutozwa elfu moja?

Alafu kuna mtu kafungiwa laini kweli? maana laini yangu moja sijasajili kwajili ya mtamdao unasumbua siku ya tatu na mpka sasa ina dunda tuu
 
Ikifika saa 5:50 usiku wa tarehe 19, zima simu yako na utoe line kwenye simu hadi kesho yake.... utaendelea kudunda hewani kama kawa.

Thank me later.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.

Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
Unajichanganya mwenyewe ndugu. Umekiri mwenyewe kuwa NIDA ni chanzo cha watu kuchelewa kusajili line zao. Unamuadhibuje mwananchi kwa kosa la NIDA?
 
Unajichanganya mwenyewe ndugu. Umekiri mwenyewe kuwa NIDA ni chanzo cha watu kuchelewa kusajili line zao. Unamuadhibuje mwananchi kwa kosa la NIDA?
Hivi unaweza kusajili kwa kutumia passport , hizi mpya?
 
Haya ni majibu ya akili za nzi kucheza na uchafu. Angekuwa na akili angetengeneza asali. Nchi inahitaji muda zaidi kujisajili. Line zikizimwa kesho wanyonge wengi wataumia. Mm nimeshasajili ila najua kwa muda uliowekwa ni ngumu nchi zima kuwa imesajili.
Ni kweli mkuu kuna watu vichwa vyao ni makasha ya kuifadhia upumbavu wao,tulio wengi hasa mkoa wa manyara,hususani wilaya zake watu wengi walisha kamilisha taratibu zote mpaka kupiga picha,tangu mwezi wa nane mwaka Jana havijatoka kitambulisho wala namba mpaka Leo yaani hii serikali dah!?
 
Hiyo sio kazi ya katibu mkuu wa CCM ! elewa ndugu !
Unajua kazi ya chama wewe?Kama hujui uliza upewe maarifa,
kazi ya chama cha siasa chochote duniani hasa chama dola ni kuisimamia serikali,
Sasa kiongozi mkuu wa chama kuwasemea wapiga kura wake inakuaaje sio kazi yake?
 
Aisee...! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.

Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.

Jr[emoji769]
 
wewe magufuli nini ?unatafuta namna ya kuongeza mapato, yaani lain milioni 20 mara 1000 kwa siku si mchezo
 
Back
Top Bottom